Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
limeniudhi.mia
Pole mkuu.mia
limeniudhi.mia
unaombwa vocha ya buku unalalama je swift si utazi-mia
ahhaaaaaaaaaaaaaaa utaisoma namba
Hata mi namshangaa.
hakuna kitu kinachonifurahisha kama mkaka unasafiri nae,mnapiga stori hadi mnafika kila mtu aendako,mnashare hadi idea za maendeleo. afu mnaachana kwa kutakiana kheri. mambo ya kuanza kugandana figga uache banaa,lol
Ndiyo mkome kutoa toa macho kwenye vyombo vya usafiri!
Tamaa tu ka za fisi. Sasa hapo umempenda au umemtamani?
mkuu hiyo inatokea kwa nadra sana.kuna makaka wengine wanaogopa madada.ukimuona kama huyo muanzishie maada uone anavyofunguka.utasika"hata mimi nilikua nakupenda".mia
ahhaaaaaaaaaaaaaaa utaisoma namba
Unaomba namba ya simu ya nini?
Madada wa namna hiyo mie ndiyo kiboko yao
kwani ukimpa salamu halafu mambo ya simu yasiwepo kuna tatizo gani?matatizo mengine ya kujitakia
kwani ukimpa salamu halafu mambo ya simu yasiwepo kuna tatizo gani?matatizo mengine ya kujitakia
nimemtamani.mia