Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,204
- 10,952
Meneja wa Alshifa hospital jana alisema ni zamu ya vita vya kupiga hospitali.Na kweli vita vya Israel kwa hospitali vimeendelea na kuonesha ukatili ambao wote walioona wametishika.
Madaktari wa hospitali hizo wameonekana wakikimbia na vitoto njiti kwenye mashine za kuokolea maisha huku wengine wakiwa wametapakaa kwenye sakafu baada ya kudondoshewa mabomu.Wakaongeza kusema wamefungiwa ndani ya hospitali hizo na kila aliyejaribu kutoka aliuliwa na askari waliokuwa malango makuu ya kuingilia hospitali hizo.
Raisi Macron wa Ufaransa ni mmoja ya waliosikitishwa na unyama huo hivyo kutoa tamko kali la kuitaka Israel iache mara moja kuuwa watoto wachanga kwa kisingizio chochote klle
Kwa upande wake raisi Alraisi wa Iran amesema sasa ni muda wa vitendo dhidi ya ukatili wa Israel na si wakati wa maneno tena.