Ndio maana niliamua kuwa vegetarian
Ndio maana niliamua kuwa vegetarian
Ubahili wako ndio uliokufanya uwe hivyo; Kuna machinjio masafi tuu sehemu nyingi.
Na kama upo dar halafu unakuwa vegetarian siku utakapobaini kuwa hizo mboga zinamwagiliwa na maji ya aina gani na hata nyingine zinachumwa wapi haswa wakati wa mvua....utaishia kwenye RB...(Rice Beans)....
Ndio ulipona, naini amekwambia kula nyama ndio mpango wote?
Lakini majani tuu pekeyake nayo sio issue, Inabidi uchanganye Pweza kidogo, Nyati, Kisamvu etc...
Let me be specific, I am pescatarian. Huwa nakula majani, beans, jamii ya samaki mara nyingi kuku kama kachinjwa nyumbani.
Zaidi ya hapo sili, bongo hii duh utalishwa nyama ya mtu plus hygiene issue matatizo.
Hata ule ndafu mbele yangu....yani nyama sishabikii kabisa.
Ndio maana niliamua kuwa vegetarian
You miss alot...try test that thing...so sweet you cant stop testing it again and again
Nilikuwa kama wewe enzi hizo nikaamua nistaafu tu kwenye hichi chama cha meat eaters
Tell me something...nikiacha nyama kitambi kitatoweka? Cause I will stop now now