Machache usiyoyajua kuhusu mapacha

hapo kwenye 22% hutumia mashoto ni kweli kabisa aisee, mke wangu ni pacha na anatumia mashoto hadi kuandika.
 
Mimi nauliza tu japo uliweka angalizo.
Walikuwa wamejamiiana? Pia watu wa namna hii endapo watapeana ujauzito huyo mtoto atazaliwa wa namna gani?
hili la pili ni dhahiri shari, na dhahiri shari MTOT NI MTOTO TU KWANI KITANDA HAKIZAI HARAMU
 
hapo kwenye 22% hutumia mashoto ni kweli kabisa aisee, mke wangu ni pacha na anatumia mashoto hadi kuandika.
inaweza kuwa isiwe exactly sababu ni tafiti lakini pia jiandae kwa mapacha kama mkeo ni uzao wa mapacha
 
je kuna uwezekano wa kupata mapacha ikiwa mke alikua na pacha wake lakini mume hana historia ya mapacha kwenye ukoo wake?
 
Namshukuru Mungu kunipa uzao wa mapacha wa kiume, ingawa Dotto siko nae kimwili but kiroho yupo nami
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom