mabweni ya shule yanaungua!!

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
mabweni ya shule ya sekondari ya lakrimu iliyopo moshi yanaungua,moto huo ambao unasemekana umetokana na shoti ya umeme.hv sasa wanafunzi wapo kwny taharuki kubwa.
 
Dogo poleni lakini heading ingekuwa more specific, mabweni shuke ya ..... yanaungua.

Pamoja na hayo keep on updating your thread ili isibore.
 
wanakijiji wanajitahidi kuzima moto,cha ajabu hadi hv sasa zima moto hawajafika.pia jambo la kumshukuru Mungu hakuna mwanafunzi aliyejeruhiwa au kuumia.
 
Back
Top Bottom