Mabomu yanarindima mjini Kahama

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
562
319
Ndugu wanajamvi,

Kuna bodaboda amekufa baada ya kugonga mti maeneo ya Masabo picnic centre ambao ulikatwa jana ukaangukia barabarani ,hivyo bodaboda na wakazi wa mtaa huo wameandamana kulaani uzembe wa usalama barabarani kutowawajibisha wahusika ambao waliukata mti na kuuacha barabarani bila kuweka alama inayoonesha ama kutahadharisha mbele kuna emergence.

Marehemu amefahamika kwa jina la Samweli na mwili bado uko mochwari katika hospitali ya mji Kahama.
 
Poleni sana kuishi Tz ni kuweka maisha yako rehani vifo vingi ni man made.
 
Kwahiyo??????????

Huku uhayani hatuna wapuuzi kama wewe. Ungekufa wewe au ndugu yako ukatangaza msiba mtu akakuuliza utumbo uliouliza ungejisikiaje?

Bora ungesoma ukakaa kimya ....nakwambia kwa kihaya...OLIKIFELA.... oina olwango rogo olwo ukunnya omunyungu yebitoke!!!
 
Isiiwe kaisiki nonyendelaki?
 
Huku uhayani hatuna wapuuzi kama wewe. Ungekufa wewe au ndugu yako ukatangaza msiba mtu akakuuliza utumbo uliouliza ungejisikiaje?

Bora ungesoma ukakaa kimya ....nakwambia kwa kihaya...OLIKIFELA.... oina olwango rogo olwo ukunnya omunyungu yebitoke!!!
mutabilwa abantu nkaiwe owaitu ntubanaga.
 
Last edited by a moderator:
Police wamekuja kwenye tukio wamekuta watu wengi wao wakaanza kupiga mabomu bila kujua wanampigia nani hali siyo shwari kabisa bodaboda wamefunga njia na wanarusha mawe masabo!! Poloci wao ni mabomu tuu kuanzia asubuhi!
 
Ndugu wanajamvi,

Kuna bodaboda amekufa baada ya kugonga mti maeneo ya Masabo picnic centre ambao ulikatwa jana ukaangukia barabarani .

Mwenye macho haambiwi tazama.Huyo dereva boda boda alikuwa akiendesha bodaboda akiwa kipofu au kafumba macho? Hakuona huo mti akashika breki?
 
Police wamekuja kwenye tukio wamekuta watu wengi wao wakaanza kupiga mabomu bila kujua wanampigia nani hali siyo shwari kabisa bodaboda wamefunga njia na wanarusha mawe masabo!! Poloci wao ni mabomu tuu kuanzia asubuhi!

Hali ilivyo sasa kama mtu akiangukia kwenye maji, mkitaka kumuokoa kama mko wengi inabidi mtoe taarifa polisi vingenevyo mtatawanywa kwa mabomu, ndicho unachomaanisha
 
Back
Top Bottom