Mabomu yanalipuka Shinyanga mjini

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,045
359
Mabomu ya machozi yanapigwa mida hii maeneo ya soko la nguzo nane ndani ya manispaa ya Shinyanga Mjini

Update, by mbumbumbu,
sababu.. wamachinga
kuhamishwa eneo la biashara
'TOWN XUL' hivyo leo
wakaandamana kupinga
uamuzi huo.. ILLEGAL DEMO!!
 
Last edited by a moderator:
Sa mbna habari haina nyama ya kutosha? Au unadhani wote 2po hapo.
 
machinga bt machinga wamesogea kwenye ofisi ya chadema na ndio yamepigwa pembeni ya ofisi ya cdm sasa
 
machinga bt machinga wamesogea kwenye ofisi ya chadema na ndio yamepigwa pembeni ya ofisi ya cdm sasa

Je, kwani hii ndio sababu tosha ya kupigwa mabomu au kuna tukio limetokea hapo.

Weka habari iliyokamilika tuelewe kinachojiri huko.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mleta uzi acha kukurupuka au na ww umepigwa bomu? Hebu eleza kwa ufasaha nn shida

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mabomu ya kitu gani tena kwa raia wema hao? Tanzania imegeuka Syria tena.
 
hii nchi hii, bora kupata msuba :majani7: asubuhi kabla ya kuingia kitaa, maana 'HAMNANI SI SHWARI TENA'!
 
Mabomu ya machozi yanapigwa mida hii maeneo ya soko la nguzo nane ndani ya manispaa ya Shinyanga Mjini
Sababu ni nini?
download 8.jpg
 
Back
Top Bottom