Mabomu na Risasi za moto zarindima Kinondoni Moroko Dar usiku huu!

Police jzi Kinyerezi walivyopata ajali ndani ya Dakika chache Gari zote za Uduma zilifika Mpk gari la fire lkn kwa kuwa ajali amepata Raia wa kawaida basi kufika mpk masaa 3
 
Hivi kuna mtu mwingine kagundua baada ya kifo cha sheikh yahaya ndio mavurugu kila kukicha katika Tanzania?
 
mahali ni migomo, Polisi wameua watu zaidi 8 masasi wananchi ambao hawana maji wala maendeleo yeyote. Vp walimu na madaktari nao warudi kundini mpaka kieleweke
 
Last edited by a moderator:
pole zao maana nilijua gongo la mboto imehamia kinondoni duu thanks kwa info mkuu..
 
duh ilikua balaa nligeuza gari kwa speed kwel afu tuliogeuza tulikua wengi so tukalundikana place moja hmna njia ya kutoka thn uko risasi ndo zinarindima balaa..watu waliacha magar
 
Sasa hivi hakuna jingine watanzania wanatafuta source ya kuanzia Muunganiko uwe mkubwa ili wawe kama Wasiria
Mtwara, masasi, dar mara 2,dumira, dodoma st johns, n.k
network searching..........
Loading............................0%
failed......!!
 
Dumila, Msimbati, Kibiti, Kinondoni...

Wiki hii tu.

Nahesabu tu. Si bure.

Nchi ya amani no more.
 
Mtoto ukimpiga sana anakuwa sugu. Haogopi viboko tena. Itakapofika 2015 watanzania watakuwa wamezoea risasi na mabomu ya machozi! Hapo ndipo nguvu ya umma itakapotikisa sawasawa!!!
 
Mh!hari ni mbaya sana,inaonekana siku hizi polisi hawaamini tena,watu wameamua kuwapa kibano tu!

Wananchi wanahasira na machangu,wanasubiri pa kuanzia tu.Hali ya mambo inavyokwenda kila mwananchi anaiona hakubaliani nayo,Serikali inashindwa majukumu yake kwa wananchi.
 
Dumila, Msimbati, Kibiti, Kinondoni...

Wiki hii tu.

Nahesabu tu. Si bure.

Nchi ya amani no more.

Zote ni dalili za kutokukubaliwa n akupoteza uhalali.wananchi wamevumilia kudaganywa wamechoka;viongozi wanajimegea mali na kujilimbikizia mali,wanatumia madaraka na nafasi walizonazo kujitajirisha bila kujali hali ya wananchi.
 
Nahisi mwaka huu bajeti kubwa ya polisi itatumika kwenye kununua mabomu ya machozi.
 
Back
Top Bottom