Mabinti huwa mnahitaji nini?

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Kwa umri nilionao nimekutana pia nimeona vituko vya kutosha,wako mabinti walikuwa na watu wenye hela wakaachika wengine waliolewa na maskini wakaachika,lakini wapo waliokuwa kwenye ndoa waume zao waliwajali,waliwapenda na zaidi walipewa dozi vya kutosha lakini waliachika,kumbuka wote hawa hawakuachwa na waume zao bali wao ndo waliwaacha,Justine Timbelake aliwahi kusema mabint hawajui wanachohitaji kwa mwanaume,je ni kweli??
 
kutokana na analysis yako hapo conclusion ni moja: it all depends on what is offered on the menu,or can we order special?
 
Huwezi kuelewa mabinti wanataka nini kwa kuwa watafiti baada ya kuhangaika miongo mingi wameamua wanawake na wanaume wametoka katika sayari tofauti.
 
broda,ever heard that a woman is good @ multiplying @thing? give her a seed she will give u babies, give her lov,u get loads of lov back, giv her crap, u get loads of s*&t right back on ur face! tunahitaji upendo na attention tu i guess,mali na mengineyo ni ziada,like a cherry on the cake!
There is nothing special broda!
 
broda,ever heard that a woman is good @ multiplying @thing? give her a seed she will give u babies, give her lov,u get loads of lov back, giv her crap, u get loads of s*&t right back on ur face! tunahitaji upendo na attention tu i guess,mali na mengineyo ni ziada,like a cherry on the cake!

Muombe Mungu maisha marefu utaona kama hicho unachofikiri ndo solution kisha utanikumbuka broda!
 
no hard feelings bra! bt i blv sisi wanawake ni wavumilivu sana.kuna mdada unamuona anafanya mambo ya ajabu ukimuuliza why akakuambia anayopitia unaishiwa kiswahili. of coz kuna wengine ni tabia tu, na tabia haina dawa. kuishi ni kujifunza, the way i think today might nt be the same way i think 20 yrs down the lane. i am ready to learn,bt i remember the guiding principles always, and act accordingly.mm huwa najiuliza wanaume huwa wanataka nn...?

Wanawake nyie ni pasua kichwa thats why Mungu ametuambia tuishi na ninyi kwa akili,huwa hamjui mnahitaji nini,mnaweza kupewa vyote lakini mkahisi something is mising!
 
Kwa umri nilionao nimekutana pia nimeona vituko vya kutosha,wako mabinti walikuwa na watu wenye hela wakaachika wengine waliolewa na maskini wakaachika,lakini wapo waliokuwa kwenye ndoa waume zao waliwajali,waliwapenda na zaidi walipewa dozi vya kutosha lakini waliachika,kumbuka wote hawa hawakuachwa na waume zao bali wao ndo waliwaacha,Justine Timbelake aliwahi kusema mabint hawajui wanachohitaji kwa mwanaume,je ni kweli??

mabint hawajui wanachohitaji kwa mwanaume,je ni kweli??

Sio Kweli... kujua kwao wanataka nini ndo kinawaondoa bada ya kukikosa....
 
broda,ever heard that a woman is good @ multiplying @thing? give her a seed she will give u babies, give her lov,u get loads of lov back, giv her crap, u get loads of s*&t right back on ur face! tunahitaji upendo na attention tu i guess,mali na mengineyo ni ziada,like a cherry on the cake!

king'asti nakubaliana na wewe kabisa,women needs attention,love& many many things which can be given out through men's attention like caring,commitment n.k so attention here is the point of view,as u have said what men will give out is what they will receive hapa Law of Echo ina-apply sana tu otherwise ambae anakuwa tofauti is personal character which sometimes is hard to change!! Camoon men lets understand this flowers
 
Kwa umri nilionao nimekutana pia nimeona vituko vya kutosha,wako mabinti walikuwa na watu wenye hela wakaachika wengine waliolewa na maskini wakaachika,lakini wapo waliokuwa kwenye ndoa waume zao waliwajali,waliwapenda na zaidi walipewa dozi vya kutosha lakini waliachika,kumbuka wote hawa hawakuachwa na waume zao bali wao ndo waliwaacha,Justine Timbelake aliwahi kusema mabint hawajui wanachohitaji kwa mwanaume,je ni kweli??
Read tis book, you will find what they really want/need......!
 
Wanahitaji upendo wa kweli, na sio mali kwa sababu anachokifuata kwako ni upendo wa kweli. Kama ni mali wengine wanatoka kwenye familia zenye mali kuliko huko wakaoolewa. Hakuna katika mazungumzo yako na wadada/wamama inaonekana wanachukia sana me' wao kugawa upendo kwa 'ke mwingine. Hivyo, hata kama utamjali, kumpenda na kutoa dozi vya kutosha, ukigundua kuwa unamtoa dozi kwa mwingine mambo yataanza kuyumba ndani ya nyumba yenu.
 
Plz soma thread uelewe kisha uchangie vizuri,uliyosema hapo mabinti wanapewa lakini wanatoka nduki
 
Back
Top Bottom