Mabinti amkeni mnazeeshwa na makanisa ya kiroho

halafu wakilala usiku wakaota ndoto kwamba wameingiliwa na mwanaume wanakimbilia kwa mchungaji akawaombee kwamba wameingiliwa na jini mahaba wana pepo, kumbe ni mahitaji tu ya kimwili unakuta binti ana miaka 32 hajapigwa mashine ila hisia za mwili zinahitaji, hivyo akiota ndoto kwamba anagegedwa anasingizia eti jini mahaba kumbe wapi ni genye tu anahititaji mshededeee...

Nikumbushe mchungaji gani aliiongea hii!
 
Kuna makanisa ya kiroho bhana yamedumaza akili za mabinti,wamewaingiza kiroho zaidi,Mme halali mpaka waonyeshewe na Mungu,kama hajakuona kwenye maombi hakukubali,warembo wazuri wanazeeka kwenye makanisa ya kiroho

Wnakuja kushtuka umri umeenda hatimaye wanaamua kupata mimba humo humo baada ya maombi kutojibiwa,au kuolewa kinyemela bila kufuata misingi ya kanisa.

Swala la ndoa haihitaji kuomba Mungu akuonyeshee wakati una macho ya kuona.

Amkeni mtazeeka kwenye ibada.

khekhekhe......umewachokoza aisee

utajibiwa humu mpaka ukome...kwajinsi walivyokua na imani kubwa kwenye hiyo makitu..subiri uone!

Tahadhari tu, wasije kukuua kwa majibu yao ya kuandika, maana huko Daslam tunasikia ndugu zetu wazaramu wanaweza kumkamata mwizi kisha wakamsuta na kumsema hadi akafa bila kumpiga hata kibao, ulizia zanziba jamaa wanakubishia hadi meli inazama.
 
Mkuu unadhani watakuelewa?
 
Mungu ana nafasi yake ila kuna mengine yanahitaji akili za kibinadamu kuyapambanua

Kuna usemi unaosema "Mungu na mbio" maana yake inabidi uweke juhudi yako uku ukimwomba Mwenyezi Mungu. Mfano ukifukuzwa na simba unakimbia huku unaomba Mungu akusaidie. Ukisimama utaliwa na simba hata kama unamwomba Mungu.
 
Mkuu thanks huo ni mfano mzuri
 
Hao church goers aisee huwa wanapigwa mimba kabla ya ndoa kweli kweli. Sasa sijui whats the point ya kushinda church.

Halafu hizi kwaya hizi zenye mazoezi kila siku na mikesha juu....ndiko yanakoanzia
 
Kwaya ndo sehemu za kukutania
 
Kuna makanisa ya kiroho bhana yamedumaza akili za mabinti,wamewaingiza kiroho zaidi,Mme halali mpaka waonyeshewe na Mungu,kama hajakuona kwenye maombi hakukubali,warembo wazuri wanazeeka kwenye makanisa ya kiroho

Wnakuja kushtuka umri umeenda hatimaye wanaamua kupata mimba humo humo baada ya maombi kutojibiwa,au kuolewa kinyemela bila kufuata misingi ya kanisa.

Swala la ndoa haihitaji kuomba Mungu akuonyeshee wakati una macho ya kuona.

Amkeni mtazeeka kwenye ibada.
......Katika nchi za Africa watu wengi hawajui hasa wanachoamini na hawafanyi kile ambacho dini yao inataka wafanye .... in short they are just brain-washed . ndo maana wachungaji fake wataendelea kupiga hela... na tatizo mtu ambaye yupo brain-washed huwa inachukua muda sana kumfunua ufahamu
 
Mkuu Africa watu wameharibiwa,wanakuwa wadini mpaka maamuzi yao binafsi vitu vya msingi wanategemea ushauri wa viongozi wa kidini
 
Back
Top Bottom