Mabint wa kimarangu

Team R

Senior Member
Jan 2, 2014
186
32
jamani naomben kuuliza.kwnn wanawake wamarangu wanapenda pesa kulko mapenzi ya dhati,utamkuta mwanamke wakimarangu mume hakiishiwa 2 mke anakuwa ana heshima baada ya mda anakuacha.ila ukipata 2 anarudi jaman cwaelewi ni wanawake wa aina gani?.Kingne ukioa mmarangu ucpokuwa makin unafilicka kabsa yani nitabu.jaman hawa wakiendlea hvyo watkuwa ni wakumika na c
wakuoa kabsa katka dunia hii ya leo.Ila wanawake punguzeni kupenda hela na ndo maana matatzo ya kifamalia inaongezka kila cku kuliko kupungua.Jaman 2washauri wanawke wa kimarangu na
wanawake penda pesa wabdilike
 
kwa uchunguzi wangu binafsi,wanawake wanaotokea mikoa ya kilimanjaro,arusha na manyara huwa hawanaga mapenzi ya dhati.yaani unakuta uko na mtu faragha ukimchunguza kwa uakini utamuona mawazo yake hayapo kabisa hapo mlipo,sijui muda wote huwa wanawaza pesa au nini?yaani utamgundua tu mtu ana act na sio kakolea kwa ajili ya shughuli
 
Jamani tuacheni stereotypes hizi. Mimi nawajua mabinti wa huko zaidi ya mmoja wako fresh tu, wachakalikaji.

Tena mmoja alikuwa hajaridhika na kazi ya mumewe, mumewe akawa yuko poa tu, binti ndio ikawa kama kazi yake kutuma ma application, mpaka jamaa kaitwa kwenye interview kapiga mzigo akawa anachukua usawa karibu mara tatu wa awali.

Sasa binti kama huyu mpenda maendeleo na mchakalikaji, anajua hata kumsaidia mumewe kama mumewe hachangamki, unaweza kumsema vibaya kweli?

Halafu mtoto ana heshima zake zote kitu ambacho ni nadra sana kupata siku hizi.

Sasa nikimkumbuka huyu binti halafu nikisikia watu wana generalize mambo kama hivi, najisikia vibaya sana.

Watu hawako monolithic kufuatana na makabila yao, na habari yoyote inayo generalize tabia za watu kwa makabila inabidi angalau iwe qualified zaidi.
 
Kiranga cjasema wote ila wengi wao wako hivyo na huwa weng huwazidi wachache nazani umeelewa sasa
 
Hapa kama namuona Lara moko vile na swaga za hatuhesabu majani tunahesabu hela
Mtoa mada hela ndo kila kitu hata kama unae anaejifanya hapendi hela anasoma ramani tu .
 
[mkuu wa Tz wengi bado wana mfumo dume ata mimi ningepata mmarangu ningetangaza nia wamarangu awataki mazezeta kuna mawaziri na mamd wanatoka kanda ya ziwa wamefika hapo kutokaa na hawa madada.kuna prof wa Udsm (later now) mkewe ni mmarangu tena la saba ila huyu mama hapa Dar ni one of millioneas
QUOTE=Kiranga;8426748]Jamani tuacheni stereotypes hizi. Mimi nawajua mabinti wa huko zaidi ya mmoja wako fresh tu, wachakalikaji.

Tena mmoja alikuwa hajaridhika na kazi ya mumewe, mumewe akawa yuko poa tu, binti ndio ikawa kama kazi yake kutuma ma application, mpaka jamaa kaitwa kwenye interview kapiga mzigo akawa anachukua usawa karibu mara tatu wa awali.

Sasa binti kama huyu mpenda maendeleo na mchakalikaji, anajua hata kumsaidia mumewe kama mumewe hachangamki, unaweza kumsema vibaya kweli?

Halafu mtoto ana heshima zake zote kitu ambacho ni nadra sana kupata siku hizi.

Sasa nikimkumbuka huyu binti halafu nikisikia watu wana generalize mambo kama hivi, najisikia vibaya sana.

Watu hawako monolithic kufuatana na makabila yao, na habari yoyote inayo generalize tabia za watu kwa makabila inabidi angalau iwe qualified zaidi.[/QUOTE]
 
Acheni uzuzu, demu mpenda hela mega then tembea. Unakaa nae wa nini wakati mzazi wako analia njaa kijiji? Wewe ulipokuwa unasomeshwa na mzazi yeye alikuwa anafundishwa kuchuna nini? Wapo mademu kibao wasiomind mkwanja.
 
hebu tujulishane wanakopatikana mademu wa namna hii maana tunawatafuta sana na hatuwapati
 
Jamani tuacheni stereotypes hizi. Mimi nawajua mabinti wa huko zaidi ya mmoja wako fresh tu, wachakalikaji.

Tena mmoja alikuwa hajaridhika na kazi ya mumewe, mumewe akawa yuko poa tu, binti ndio ikawa kama kazi yake kutuma ma application, mpaka jamaa kaitwa kwenye interview kapiga mzigo akawa anachukua usawa karibu mara tatu wa awali.

Sasa binti kama huyu mpenda maendeleo na mchakalikaji, anajua hata kumsaidia mumewe kama mumewe hachangamki, unaweza kumsema vibaya kweli?

Halafu mtoto ana heshima zake zote kitu ambacho ni nadra sana kupata siku hizi.

Sasa nikimkumbuka huyu binti halafu nikisikia watu wana generalize mambo kama hivi, najisikia vibaya sana.

Watu hawako monolithic kufuatana na makabila yao, na habari yoyote inayo generalize tabia za watu kwa makabila inabidi angalau iwe qualified zaidi.

Nimekupenda bure kabisa Kiranga, kuna watu wanapenda ku generalize kosa la mtu mmoja na tabia ya mtu mmoja na kuhusisha mkoa wote aliotokea huyo mkosa wake, hii tabia si nzuri kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom