Mabibi na Mabwana tupige vigelegele n makofi tumkaribishe mweheshimiwa,mstahiki,dr,prof,jembe: NS

Feb 9, 2012
26
10
Nawashukuruni wana Jf,nimethibitisha u real great thinkers kwa ukaribishwo wenu:kuclick post hii kwangu ni ukaribisho mkubwa
Tushikiane pamoja katika kuijenga,kuiambia ukweli,kuiburudisha,kuikosoa kidole machoni,kuizomea,kuiumbuaa,nk..Jamii yetu.
Mimi ni Mtizedi wa originarii.
Siwashukuru kwa kuwapotezea muda wenu bali naomba muunge mkono hoja hii.Wanaosema inaboa waseme boaaaa! na wanasema yakijanja waseme janjaaaa!! waliopandezote waseme boanjaaa! waliokuwa wameuchapa waseme wausingiziiiiii!
Leo tunaairisha jumba la posho hadi mwezi wa bujets.
 
duh! Mkwara mzito, karibu sana jembe lakini nafikiri utatufaa haswa kwenye lile jukwaa la jokes na utani zaidi! Haswa username yako inafurahisha zaidi! Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom