Mabere Marando afunguka kujiuzulu Usalama wa Taifa

Kama ingekua ni barua unasoma badala ya video basi imeandikwa na marker pen.. Bold talk!
 
Kama ingekua ni barua unasoma badala ya video basi imeandikwa na marker pen.. Bold talk!
 
ahsante nimekuelewa mkuu,lakini sio mwaka1995? ambapo ilitungwa ile sheria ya ya idara ya usalama wa taifa?

Marando hakuwa TISS, TISS ni taasisi mpya iliyoanza 1998 , alikuwa Idara ya Usalama wa Taifa, ambayo haikuwa hata na sheria yake.....kama jina linavyosema, ilikuwa ni Idara tu chini ya ofisi ya raisi
 
kucomment kwa style hii mm nakuita....utumizi wa hekima(kutafakri kwanza kabla ya kunena au kucomment ndo huku!).Hebu basi na sote tuwe wenye hekima waungwana!

Asante,ni mategemeo yangu siku moja sote tutabadilika ,tuzidi kuelimishana pamoja na mimi.
 
Mabere yuko vizuri.
1: kajiunga usalama fresh from college 1976?? Hana kadi ya TANU TYL. kwa wakati ule jama sio sekondari basi jkt lazima mpate mafunzo ta siasa. Aliingiaje Udsm? it was planned.
2: Baada ya Udsm alipataje kazi usalama bila kuwa TANU enzi za julius? fake statement.
3: Kesi ya uhaini ilikuwa 1984 sio 1982 labda kama alipitiwa.
4: Alishiriki vita ya uganda 1979/80. Alikuwa na Tamimu vitani hadi tamimu alipikimbilia kenya.
5: Alijiunga nccr na mrema ( afusa usalama).
6: 2010 akajoin chadema with special mission.
Unawatetea mafisadi .watu walioiba fedha ya tanzania. haya bwana
 
Nimeipenda hiyo,,,hivi mwanasheria mwenye akili anaweza kumtetea jambazi aliyeuwa ndugu zake?
 
kati ya marando na wezi wa meno ya tembo, wauza sembe, na wanaogawa rasirimali za taifa nani anastahili kupewa hayo matusi yenu.?
 
Simple and no body? Hivi wewe na Marando tukiwaweka pamoja who is simple and no body? Marando ana jina wewe hata tukigoogle hatupate chembe.
Yeye ni mwanasiasa mwanzilishi wa Mageuzi hapa nchini, mwanasheria maarufu mwenye jina linajulikana ndani ya nchi na nje, mbunge mstaafu wa bunge la Tanzania, etc etc. Sasa wewe toa hata kama uliwahi kuwa katibu kata[

QUOTE=HAMY-D;9195726]You seem to be wise. And I usually talk to wise people.

Back to topic,

Swali ambalo Le Mutuz ameuliza sio kwamba lina lengo la kutaka kujua Marando ni nani, la hasha, bali lina lengo la kusema kuwa Marando is simply a no body. And that's a fact.[/QUOTE]
 
Marando alifukuzwa kama mbwa kwa tabia mbaya na utovu wa nidham, aliasi mapambano ya vita kati ya tz na uganda na inasemekana hakuwahi kuingia ofisi za usalama wala kufanya hiyo kazi, alichukuliwa kutoka chuoni moja kwa moja kwenda vitani, yakamshinda kule akatoroka na ndio akafutwa usalama. Kama uongo aje ajibu hii post

Nimekuja. We ni muongo.
 
Respect is earned. It's not something that u get for free. So, not every one deserves to be respected simply because one is a human.

As far as I know, Marandu does not deserve to be respected.
ha ha ha ha ha! if you walk along a road with a pig, that KITMOTO will have more respect compared to you!!
 
na vipi rais anayewaachia mafisadi waliopora pesa za walipa kodi?

Kila mtenda kosa hatokumbukwa kwa wema! Iwe rais, iwe marando, uwe wewe kila mmoja atapata hukumu stahili. Sio kwa kuwa fulani kaiba meno ya tembo basi na wewe ufanye kosa.
 
Mwongo huyu. Ni lini mtu anajiuzulu usalama wa taifa? wakikulazimisha kujiuzulu hutafika mbali na siri zao. Mabele na Mrema wako usalama wa taifa ktk kitengo maalum cha vyama vya siasa. Aje hapa abishe.
 
Le mutuz, unene wako haufanani na iq yako, hivu ww ni nan? Na umefanya nn kwenye nchi hii? Wakati bado unakaa kwa baba yako! Shame on you le mutuz, mwenye hoja ya kueleweka atudadavulie jamani
 
Back
Top Bottom