Mabasi yaendayo kasi: DSM

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Vipi huu mkakati wa mabasi yaendayo kasi unaendeleaje? Nimeshangaa kuona vituo vimejengwa maeneo mbalimbali bila njia kukamiloika.
Baadhi ya vituo vimeanza kuharibiwa hata kabla ya kutumika. Nashindwa kuelewa kwanini vituo vimejengwa kabla ya njia?
Au ni staili ya ulaji mafungu?
Chukua chako mapema???
 
Hao ndio magamba bwana porojo na mbwembwe nyingiiiiiii!!!!!!!!
angalia ujenzi wa barabara ya Bagamoyo unavoenda hapo ndo utakimbia kabissaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom