kimunyesam
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 220
- 202
Kabla sijawapa link naomba kuwapatia Haya Maelezo ambayo yamenistua sana!!.
Ki sayansi Haya mabara yaani afrika,Asia n.k yalitokea baada ya dunia kuachana kwa ardhi kugawanyika polepole hadi kipande kimoja kuwa mbali na kingine!
Sasa basi halihiyo itajitokeza January mwakani kwa kasi kubwa! Ya 100km/h!!! Hii ni kusema kwamba ndani ya 48 hrs mabara yatakua 4800km each others.!
Kilichoniogopesha zaidi ni kwamba mtikisiko mkubwa utatokea na kufanya zilzala(tahamaki) kubwa itakayo pelekea wazungu kutulia kwa muda bila kufanya chochote wakati wakifanya uchunguzi Wa hali ya hewa,umbali,nk.
Hii itachukua muda mrefu kidogo! Lakini wazungu wakati wakihangaika kututafuta bara letu lilipokimbilia Haya ndio yatatukuta bara la Afrika...
1.vita za wenyewe kwa wenyewe zitasimama maana malighafi kama siraha.almasi na dhahabu kutoka am a kuingia afrika kutakoma.
2.ndani ya muda mfupi magari yote yatapaki kwakua hatuna akiba ya mafuta ya kutosha.
3.umeme utakatika sababu vipuri vyote tunaagiza ulaya!
4.tra .watasimama kazi maana efd hazitofanya kazi(teh.teh.najua wafanyabiashara hapa mmefurahi)
5.madukani kilakitu kitakosekana Hata njiti za meno maana vingi ni made in China!
6. Kifupi tutarudia mfumo Wa ujima unakuja na chumvi nakupa mahindi! Hata nguo hatutovaa tena! Maana tutakua hatuna jinsi ya kutengeneza! Huku yomboo na zazuu zikirudi kwa kasi.
Vipodozi kushnehi. Nahisi hata kuchana nywele itakua ni afro.panki.no rasta za brazili hazitokuepo! Daaah, yaani wakati nafiKiria hali ya maisha itakayo tukuta nikasikia alarm inaita ni saa12:00 asubuhi kumbe nilikua ninaota!!?
Samahani sana kwa nitakao wakwaza ndotozingine bana!! HIVi IKIWAKWELI? Tafakari