Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Maliasili imebadilishwa leo leo with immediate effect! Anyway acha tushangilie Sukuma Gang wanavyotiwa adabu

Kwa zile siasa za kihayawani alizoleta dhalimu, acha msoga line wapige watakavyo.

Na kwakuwa dhalimu alijaza wabunge na madiwani wa ccm kwa kusema ni wazalendo, basi watetee hizo raslimali ili tujue dhambi aliyofanya mwendakuzimu na akasifiwa.
 
Mali asili na utalii bado haijapata mtu.
Mtu sahihi hiyo wizara ni Bashe
Naona unataka kuua Wizara ya Kilimo.

Haitafaa hata kidogo kumtoa Bashe Kilimo, Mali asili si pelekeni hata Dr. Musukuma?

Kwanza ataikuza Burigi jwa kiwango cha Serengeti.
 
Back
Top Bottom