Mabachela kibao mume wa nini?

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
naona wenzangu wiki hii ni hekaheka ya kulalamika waume kuibwa kuna umuhimu gani kuwamiliki kwa nini msiwe single wenzenu tunaruka viwanja kinoma bila pressure.mume wa kazi gani ikiwa mabachela wamejaa
 
Wewe Katibu! Sijui huelewi utamu wa mume nadhani!
Hivi jiulize kuna benefit gani anayopata mtu aliyejinunulia gari , likawepo hom akaacha kwenda kupanda daladala kila uchao?
 
Hahahahaaa hujajua raha ya kuwa nayo muda wote!
Muulize Cantalisia atakupa ratiba!
Utasikia kuna cha mchana,asubuhi,adhuhuri,alasiri,jioni,usiku wa manane,usiku wa matisa n.k
Jaribu uone
 
Last edited by a moderator:

faida gani ikiwa muda mwingi hauko naye yupo na vibweka vyake vya nje ona watu wanavyoteseka humu
 
aah,nyie mwasema wadanganye ambao hawajaonja joto la jiwe ubachela una raha yake bna. na ndo nimeingia rasmi
 
faida gani ikiwa muda mwingi hauko naye yupo na vibweka vyake vya nje ona watu wanavyoteseka humu

So far mwanafunzi mmoja ama wawili-watatu, wakifanya kosa unachapa darasa zima ?
Unatoa wapi vigezo vya kutuhukumu wote.
Kwamba wote m*bol* mkononi.
 
naona wenzangu wiki hii ni hekaheka ya kulalamika waume kuibwa kuna umuhimu gani kuwamiliki kwa nini msiwe single wenzenu tunaruka viwanja kinoma bila pressure.mume wa kazi gani ikiwa mabachela wamejaa
Unasemaje?????
 
safi sana..
itabidi nianzishe biashara ya Condom Vending machines
kila conner chooni, stend, jikoni mabafuni, hoteline, sebuleni,
kwenye magari ..( better be safe than sorry )..:fish2:
 
naona wenzangu wiki hii ni hekaheka ya kulalamika waume kuibwa kuna umuhimu gani kuwamiliki kwa nini msiwe single wenzenu tunaruka viwanja kinoma bila pressure.mume wa kazi gani ikiwa mabachela wamejaa
Ukitaka kujua utamu wa ngoma sharti...
 
Cha jikoni, bafuni, sebuleni, koridoni...
Kila wakati ni wakati wa chai! Hawajui watoto hawa!

Back
Top Bottom