Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

Status
Not open for further replies.
Biblia inasema hv khs kuchinja,Kumbukumbu la Torati sura ya 12 aya ya 15 inasema hv "Pamoja na haya, waweza kuchinja nyama na kula ndani ya malango yako yote,kwa kufuata yote yote yanayotamaniwa na roho yako,kulingana na baraka ya BWANA Mungu wako,aliyokupa;aliye tohara na asiye tohara ana ruhusa kula katika nyama hiyo,kama ya paa na ya kungulu"

pia aya ya 21 ktk kitabu hikihiki inasema hv "Na mahali atakapochagua Bwana Mungu wako apaweke jina lake,pakiwa mbali nawe mno ,ndipo utakapochinja katika kundi lako la ng'ombe na kondoo alilokupa Bwana kama nilivyokuagiza,nawe utakula ndani ya malango yako kwa kufuata yote inayotamani roho yako"
Hivyo basi inabidi wakristo waachwe na wasilazimishwe kula nyama iliyochinjwa na waislam kwani ht wao wana haki ya kuchinja pia.

Hapo palipo chaguliwa na kuwekwa jina la Bwana panapo chinjwa Ng'ombe na Kondoo ni Makkah, Waislaam wanapofanya hija ! Ndio Tourat inapataja. Hivyo hiyo aya inawazungumzia Waislaam !
 
Kwani shughuli ya kikistro Muislamu katia maguu ili iweje? Halafu ye ndo anakuwa mwenye sauti!anahusikaje?njaa jamani NJAA! watakuja kuelekeza watu kuzika hawa. Huyu lazima ni taipu ya Ustaadhi Illunga. Unang'ang'ania kuchinja!? bure kabisa.
 
Acheni Upumbavu... Huyu MUNGU mwenyewe hana dini..
Hizi dini zote zilikuja kwa Meli na hao majizi whether yalikuwa ya kiarabu ama kizungu i dont care..
hao wachinjaji wenyewe kule machinjioni wengi ni wapagani na wana majina ya kidini basi tu... hawajua hata dua/sala inafanykaje...
we kama unaona issue usile..chinja mwenyewe...
Nunua ngombe yako chinja weka kwenye freezer ule mwaka mzima.....

Sasa hapa Wahindi wakisema mnamchinja Mungu wao inakuwaje... manake nasikia Ngombe kwa wahindi ni kama Mungu

Watu tumekuwa wajinga sana....
Stupid zetu kabisa
 
Hapo palipo chaguliwa na kuwekwa jina la Bwana panapo chinjwa Ng'ombe na Kondoo ni Makkah, Waislaam wanapofanya hija ! Ndio Tourat inapataja. Hivyo hiyo aya inawazungumzia Waislaam !

Akili za mbayuwayu changanya na za kwako. Wapi imeandikwa ni makkah? ama unasoma kinyume? wacha kukaririsha watu
 
Acheni Upumbavu... Huyu MUNGU mwenyewe hana dini..
Hizi dini zote zilikuja kwa Meli na hao majizi whether yalikuwa ya kiarabu ama kizungu i dont care..
hao wachinjaji wenyewe kule machinjioni wengi ni wapagani na wana majina ya kidini basi tu... hawajua hata dua/sala inafanykaje...
we kama unaona issue usile..chinja mwenyewe...
Nunua ngombe yako chinja weka kwenye freezer ule mwaka mzima.....

Sasa hapa Wahindi wakisema mnamchinja Mungu wao inakuwaje... manake nasikia Ngombe kwa wahindi ni kama Mungu

Watu tumekuwa wajinga sana....
Stupid zetu kabisa

We katafute viroba unywe ujipumzikie !
 
Akili za mbayuwayu changanya na za kwako. Wapi imeandikwa ni makkah? ama unasoma kinyume? wacha kukaririsha watu

Oooh ! Haya tuambie ni wapi hapo palipochaguliwa na pana jina la Bwana, ambapo Wakiristo wanachinja Ng'ombe na Kondoo !??
 
kwa hiyo hata nguruwe ustaadh anataka kuchinja yeye! Safi sana maana nitaepuka purukushani za kuchinja kitimoto!
 
Hapo palipo chaguliwa na kuwekwa jina la Bwana panapo chinjwa Ng'ombe na Kondoo ni Makkah, Waislaam wanapofanya hija ! Ndio Tourat inapataja. Hivyo hiyo aya inawazungumzia Waislaam ![

ht wakristo wana haki bwana,kwani kumbukumbu la torati inapatikana wapi,kwny biblia au quran,na km inapatakana kote basi wote wana haki sawa.
 
Tai Ngwilizi umeongea kitu cha maana sana. Nadhani kuwe na hiyo mihuri Kama inawezekana ingawa sielewi nyama za kusaga, za makopo nk sijui itakuwaje.

Pia kama hakuna muislamu ktk eneo lako je watu wasile nyama maana hakuna mchinjaji?

Mwisho naomba muelewe issue ni IBADA hapa, je kuna nini kinaendelea? Nina hakika wakati damu inamwagika kuna maneno yanatamkwa, je maneno hayo yana maana gani? Naomba kueleweshwa.

IBADA ya damu ni ukombozi kamili, ndio maana shetani alitengeneza fojari, mganga akifanya ushirikina anakwambia lete mnyama. Anachotafuta hapo ni IBADA ya damu.

Tena IBADA hiyo inaanzia damu ya kuku hadi ya mtu, ukiona inatafutwa damu ya mtu ujue uchawi huo ni wa level kubwa na ya juu. Na wewe muhusika hapo ujue umemuuzia shetani uzao wako kizazi cha tatu hadi cha nne.

Sasa tuulizane damu hizo zinapomwagika ni maneno gani ardhi inayapokea yakiendana na hiyo IBADA? Je ni Roho gani zinaachiliwa kupitia IBADA hiyo?

Naamini yakiwekwa wazi hayo yataondoa confusion iliyoibuka ghafla. By the way nani kaanzisha hili, atafutwe aweke mambo wazi. You will know the TRUTH and the TRUTH shall set you free.

Queen Esther

......Bismillahi' r'rahman rahiim ! Allahu' Akbar Allahu' Akbar Allahu' !
 
Hapo palipo chaguliwa na kuwekwa jina la Bwana panapo chinjwa Ng'ombe na Kondoo ni Makkah, Waislaam wanapofanya hija ! Ndio Tourat inapataja. Hivyo hiyo aya inawazungumzia Waislaam ![

ht wakristo wana haki bwana,kwani kumbukumbu la torati inapatikana wapi,kwny biblia au quran,na km inapatakana kote basi wote wana haki sawa.

Tourat waliachwa kitambo, na wamebakia na "Kumbu kumbu la Tourat" yaani mambo yaliyo kumbukwa kumbwa !
Mengi wameshau, pamoja na mambo ya kuchinja pia wamesahau ndio maana wanachinjiwa na Waislaam.
 
Oooh ! Haya tuambie ni wapi hapo palipochaguliwa na pana jina la Bwana, ambapo Wakiristo wanachinja Ng'ombe na Kondoo !??

The place which God would choose, is said to be the place where he would put his
name. It was to be his habitation, where, as King of Israel, he would be found
by all who reverently sought him. Now, under the gospel, we have no temple or
altar that sanctifies the gift but Christ only: and as to the places of worship,
the prophets foretold that in every place the spiritual incense should be
offered, Mal 1:11. Our Saviour declared, that those are accepted as true
worshippers, who worship God in sincerity and truth, without regard either to
this mountain or Jerusalem, Joh 4:21.
Be Blessed Brother
 
buchani nitakuwa nauliza nyama hii amechinja mkristo au muislam, kisha ndio nifanye maamuzi ya kununua au la
 
Steven massatu wassira waziri wa mahusiano ndio alikwenda kufanya nini mwanza????? Jakaya mrisho kikwete na kampeni za udini mwaka 2010 anavuna alichpanda zilimvusha akaingia ikulu lakini saizi anaweweseka!!!!!!!!!!!!!!!1111111
 
The place which God would choose, is said to be the place where he would put his
name. It was to be his habitation, where, as King of Israel, he would be found
by all who reverently sought him. Now, under the gospel, we have no temple or
altar that sanctifies the gift but Christ only: and as to the places of worship,
the prophets foretold that in every place the spiritual incense should be
offered, Mal 1:11. Our Saviour declared, that those are accepted as true
worshippers, who worship God in sincerity and truth, without regard either to
this mountain or Jerusalem, Joh 4:21.
Be Blessed Brother

Tuko kwenye kuchinja ng'ombe na kondoo, naona unaleta mambo mengiiine !
Wapi hapo patakapotajwa jina la Bwana na patachinjwa Ng'ombe na Kondoo !?
Halafu tuendelee na lugha moja !
Vinginevyo nitamwaga kisambaa humu, untay'ye mosie ?
 
Tunashindwa kuacha uzinzi,wizi,rushwa ,uasherati ,ulevi ati tunaangaika na habari ya nani achinje huu ni ukomo wetu wa kufikiri. Tuombe Mungu wa kweli atujalie Busara katika kuamua jambo hili.

Hizi dini zote zilikuja kwa Meli ili tukose kufikiri kwa busara.
 
Naona kuna watu wanaharibu mjadala huu sasa tunamlaumu Wassira vipi kuwa kiatu cha kuchinja wanyama na ndege kilikuwa kikubwa kwake wakati na sisi kinaonekana kikubwa.

badala ya kutafuta suluhu tunalumbana kutafuta ubora wa dini.
 
......Bismillahi' r'rahman rahiim ! Allahu' Akbar Allahu' Akbar Allahu' !
Kama umenibariki, basi ninapokea katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth, nami ninakubariki pia kwa kipimo kilichojaa na kusukwasukwa.

La kama umelilaani, basi nairudisha laana hiyo BACK TO SENDER tena SEVEN TIMES. Kwani laana isiyo haki, haimpigi mtu, na kile apandacho mtu, basi hakika atavuna. Ukipanda BARAKA utavuna BARAKA, ukipanda LAANA hakika utavuna LAANA.

Queen Esther
 
Pia haijasema wakristo wachinje !

Bibilia haijasema wakristo walazimishwe kuchinjiwa, sura ya ngapi aya ya ngapi inasema mkristo utachinjiwa wanyama na Ndege kwa lazima na mwislamu?

Kama hili suala waislamu hawatalifanya la lazima ushindi utakuwa upande wao lakini wakitumia nguvu naona kama ni kuzidisha mvutano. Wote tunakubali kuwa waislamu wamekuwa wanachinja wanyama na ndege kutokana na uvumilivu wa kidini uliokuwepo nchini tangu uhuru si kwa sababu kuna sheria ya jamhuri ya Tanzania inayowapa haki hiyo waislamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom