Maandamano ya kumpokea mbunge viti maalum - Karatu

Apr 26, 2012
15
9
Wapendwa wana JF habari za muda.

Ni kweli maandamao yamefanyika katika Jimbo la Karatu ili kumpokea Mb Viti maalum Cecilia Daniel Paresso.
Mimi ninapata shaka katika hilo lililofanyika, Hivi maandamano ni ya nini? Kulipia Pango la Chama hadi utangaze hadharani? kuwasomesha watoto 100 kwa Tsh. 15,000 katika shule za kata ni dili kweli?. Kama ni kueleza mambo ya maendeleo si aitishe Mkutano wa maendeleo. Afanye bwembe za kuja na watu akina Mhe. Lema, Mukya na Kiwanga hayo ni majigambo tu kwa watu wastaarabu angeenda kwa Familia ya Regia Mtema na kuwapata Sukakari ya wazee hao kama pole kwa kufiwa na mtoto wao Regia
 
MZEE WA KARATU!

Umetumwa ama ni akili imekuhama!
Kazi kweli kweli!
Na hayo uliyonayo kwenye bichwa lako kawaulize mafisadi.

Huu ni msako ghetto kwa ghetto
 
Wewe kweli akili ndio huna kabisa kweli nafasi ya kupeana kishikaji kweli unatamba nalo. Wewe ni Gamba nadhani
 
Wapendwa wana JF habari za muda.

Ni kweli maandamao yamefanyika katika Jimbo la Karatu ili kumpokea Mb Viti maalum Cecilia Daniel Paresso.
Mimi ninapata shaka katika hilo lililofanyika, Hivi maandamano ni ya nini? Kulipia Pango la Chama hadi utangaze hadharani? kuwasomesha watoto 100 kwa Tsh. 15,000 katika shule za kata ni dili kweli?. Kama ni kueleza mambo ya maendeleo si aitishe Mkutano wa maendeleo. Afanye bwembe za kuja na watu akina Mhe. Lema, Mukya na Kiwanga hayo ni majigambo tu kwa watu wastaarabu angeenda kwa Familia ya Regia Mtema na kuwapata Sukakari ya wazee hao kama pole kwa kufiwa na mtoto wao Regia

kwani mkuu wewe tatizo lako ni nini.....?

hapo kwenye blue......naomba nikwambie kuwa ninakuheshimu sana......nareserve my comments kwa sasa.......

Mkuu!

Yani tuna member wengine mizigo humu!
Ila nina hofu ya kwamba siyo kichwa chake huyu MZEE WA KARATU nina hofu ni gamba at work.
Lakini huyu humu jamvini atajificha mwenyewe!

Hajui humu member wenye akili zao timamu ndio wapo!
 
Huyu jamaa kweli katumwa au hamnazo kabisa! wewe umeona kazi iliyofanywa na cdm ya kujenga chama jana inawanyima usingizi siyo? Binafsi nilikuwepo karatu kabla ya msafara kufika na tulipishana pale Marera nikiwa naelekea Arusha lakini hamasa niliyoiona pale karatu mjini si haba katika ujenzi wa chama maake boda boda na magari yalikuwa yamefungwa bendera za cdm,pia wananchi walikuwa wengi sana bila shuruti wala kusombwa kwa malori! WEWE KWELI UNALAKO JAMBO!
 
karatu lazima magamba yalie kwan tangu mwaka 95 wanaonekana hawafany kaz na kwa hoja nyepes kama hz wataishilia kufukuza upepo, maandamano ya jana yalikuwa na maana kubwa kwan yalianzia mto wa mbu eneo la gamba lowasa ambapo ccm inajifanya imeteka watu bt ni kwa vitisho tu,
 
Hii ni Ghetto kwa Ghetto, Mtaa Kwa Mtaa, Jimbo kwa Jimbo mpaka muelewe.

Mzee Wa Karatu pole kwa kuumizwa feelings zako, usijali sisi tunakomboa Nchi, Kwa ajili yetu na wewe na vizazi vijavyo.

Usijali wewe endelea kulala, ukiamka utakuta chakula tayari.
 
MZEE WA KARATU.
Umeongea maneno ya msingi sana inashangaza kwa kweli kusomesha watoto 100 kwenye shule za kata ndio wafanye maandamano makubwa.

Siku akijenga shule sijui itakuwaje, mbona wabunge wengi tu wanasomesha watoto yatima shule za kata lakini hawafanyi maandamo.

Zitto Kabwe, anasomesha watoto zaidi ya 200, Mohammed Dewji, anasomesha watoto 2400 yatima, Deo Filikunjombe anasomesha watoto 20,000.

Hawa wote hawajafanya maandamano wapo kimya.
 
Last edited by a moderator:

Mbona umemsahau Godbless Lema kwenye hiyo orodha yako?
 
Nashangaa watu wanachangia thread ya kipumbavu isiyo na hadhi kuwepo humu
 
Wapendwa wana JF habari za muda.

Ni kweli maandamao yamefanyika katika Jimbo la Karatu ili kumpokea Mb Viti maalum Cecilia Daniel Paresso.
Mimi ninapata shaka katika hilo lililofanyika, Hivi maandamano ni ya nini? Kulipia Pango la Chama hadi utangaze hadharani? kuwasomesha watoto 100 kwa Tsh. 15,000 katika shule za kata ni dili kweli?. Kama ni kueleza mambo ya maendeleo si aitishe Mkutano wa maendeleo. Afanye bwembe za kuja na watu akina Mhe. Lema, Mukya na Kiwanga hayo ni majigambo tu kwa watu wastaarabu angeenda kwa Familia ya Regia Mtema na kuwapata Sukakari ya wazee hao kama pole kwa kufiwa na mtoto wao Regia

Wewe unawasomesha wangapi? Kwanini unasema apeleke sukari kwa wazazi wa Marehemu Regia? Mtu akifiwa tunatoa Rambi rambi wakati wa Msiba na si zawadi au Shukrani Mbona hata issue ndogo kama hii huielewi? Au ndiyo maana nchi inawashinda CCM?
 
Wapendwa wana JF habari za muda.

Ni kweli maandamao yamefanyika katika Jimbo la Karatu ili kumpokea Mb Viti maalum Cecilia Daniel Paresso.
Mimi ninapata shaka katika hilo lililofanyika, Hivi maandamano ni ya nini? Kulipia Pango la Chama hadi utangaze hadharani? kuwasomesha watoto 100 kwa Tsh. 15,000 katika shule za kata ni dili kweli?. Kama ni kueleza mambo ya maendeleo si aitishe Mkutano wa maendeleo. Afanye bwembe za kuja na watu akina Mhe. Lema, Mukya na Kiwanga hayo ni majigambo tu kwa watu wastaarabu angeenda kwa Familia ya Regia Mtema na kuwapata Sukakari ya wazee hao kama pole kwa kufiwa na mtoto wao Regia

Kabla hujauliza maswali wewe Mzee wa Karatu umechangia nini katika jamii ya Karatu?
 
Mzee wa Karatu hizo ni pumba. Huna pointi ya kukashifu ujio na maandamano ya mbunge wa chama makini. Wajifanya hujui kazi zilizofanywa na chama hiki tangu 1995? Umepewa upofu wa ghafla. We kavue gamba uvae gwanda! mwendo wa kisasa mwendo mdundo. ukichelewa safina inafungwa na kuondoka. Umepewa pesa ya kula lunch leo? wahi huko kachukue usipoteze muda hapa JF.
 
Back
Top Bottom