Maandamano Mabibo Hostel

AK-47

JF-Expert Member
Nov 12, 2009
1,373
199
Taarifa nilizozipata hivi punde huko Mabibo Hostel kumekuwa na maandamano tangu saa 12 asubuhi. Wanafunzi wamevunja milango ya mabweni ya wasichana kuwashinikiza waungane kwenye maandamano na lango kuu la kutokea limefungwa.
 
Wanaandamana kuelekea wapi mbona taarifa ziko juu juu.
Wanaelekea Mlimani, naona kama wako disorganised hivi na ngungutri nomewaona wameshatinga na magari yao hapa kwenye njia ya kuelekea kwenye hosteli zao lakini wameshaanza kuandamana
 
na tayari wako chuo,wamekaa pale rev square na kukubaliana kupita mabwenini kuhamasisha waliokuwa huko!
 
Baada ya Mubarak, who is next? Tayari Sudan wanafanya jogging kupokea kijiti! Inaonekana kama inafuata mto nile vile!!!
 
Baada ya HOSNI anafuata JK, hatuwezi kuteseka na maisha magumu kiasi hiki wakati yeye na wahuni wenzake wanawalipa DOWANS mapesa ya WaTZ. Lazima EGYPT ihamie TZ mwaka huuuuuuuuuuuuuu:sick::sick::sick::sick::sick::sick::sick:
 
Back
Top Bottom