Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall , uko Mjini Iringa , Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika .

Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar .

View attachment 2142382
Eeeeh Bhwanah, ukumbi kweli.

Nyuma kidogo huyu mtu (mmiliki) angetishiwa kufilisiwa au kunyimwa tenda popote, kama siyo kutishiwa uhai wake!

Kidogo kidogo tunarudi kwenye mstari. Hivi yule kichwamaji (mkuu wa mkoa) aliyekuwa huko siku hizi yupo wapi?

Watu hawa sijui wanajisikiaje sasa!
 
Yuko Mara , anaamkia hadi watoto kutokana na mchecheto , ameponea chupuchupu kung'olewa wiki chache zilizopita
 
Hili ni tatizo kwa vyama vya upinzani, hakuna uwanja sawa na CCM. Sijui SSH halioni hili kwamba ni tatizo kwa democracy yetu??
Kila jambo na wakati wake, hata Mbowe kasema hilo, hawezi kuingia kichwa kichwa na kurekebisha kila kitu alichokikuta overnight, hata barakoa alianza kuvaa baada ya kupita kama mwezi fulani hivi since achukue madaraka, kuweni na subira
 
Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall , uko Mjini Iringa , Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika .

Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar .

View attachment 2142382
Mungu ibariki CHADEMA!
 
Hata maandalizi ya harusi mtaani yanakua hivyo,mbona kawaida tu!
giphy.gif
 
Alimdharau mama kwa kuanzisha madai ya katiba na kushinikiza kukutana na Mama...ilihali miaka 5 alitulia kimya enzi mwenda zake hakudai kongamano ya katiba .....lengo kumtuliza
 
Kila jambo na wakati wake, hata Mbowe kasema hilo, hawezi kuingia kichwa kichwa na kurekebisha kila kitu alichokikuta overnight, hata barakoa alianza kuvaa baada ya kupita kama mwezi fulani hivi since achukue madaraka, kuweni na subira
Naona umejitwisha mzigo wa "Msemaji". Yule binti hawezi, au usemaji wako ni wa huku mitandaoni tu basi?
 
Alimdharau mama kwa kuanzisha madai ya katiba na kushinikiza kukutana na Mama...ilihali miaka 5 alitulia kimya enzi mwenda zake hakudai kongamano ya katiba .....lengo kumtuliza
Kwa akili yako unadhani "katulizwa"? Mbona ndio kama amesukumwa na kupewa nguvu zaidi ya kudai hayo hayo, na pengine zaidi?

Watu wengine huwa hamtumii akili kutambua hali halisi ya mambo ilivyo.

Kwanza wewe mwenyewe angalia unavyojichanganya. Kama Mbowe alikuwa "anashinikiza kukutana na mama", huoni sasa kakutana naye, tena mama hakuwa na subira ya kumwacha apumzike kidogo kabla ya kumkaribisha ikulu? Wewe unadhani mama hajui anachofanya, bali wewe ndio mjuaji? Bure kabisa.
 
Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall , uko Mjini Iringa , Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika .

Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar .

View attachment 2142382
Acha ujinga wewe anaongea na Bavicha siyo TAIFA.
Kuna TAIFA unaweza kuongea nalo kwenye ukumbi wa sendoff party? Angeenda uwanja wa TAIFA basi
 
Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall , uko Mjini Iringa , Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika .

Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar .

View attachment 2142382
Huyu ni Gaidi tu hata kama katoka baada ya kulamba miguu ya pilato, aje atueleze Chacha Wangwe nini kilimtokea? Vinginevyo sisi kama Jamii bado tutamhesabu kama gaidi hatari sana
 
Alimdharau mama kwa kuanzisha madai ya katiba na kushinikiza kukutana na Mama...ilihali miaka 5 alitulia kimya enzi mwenda zake hakudai kongamano ya katiba .....lengo kumtuliza
Walidai Chief, mwanzoni, walipoona hali inazidi kuwa ngumu wakaja na UKUTA, Jiwe akawapiga mkwara 'hajaribiwi', then zikaja zile jitihada na Mange ambazo zilizimwa na maandamano ya Jeshi April, 2017. Baada ya pale Jiwe akaamua awe aggressive zaidi, ndipo likatokea lililotokea Sept. 2017, since then wapinzani wakapoa, hawakuamini kilichotokea. Lakini hilo halikuwazuia kuongea pia
 
Back
Top Bottom