Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,423
Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall, uko Mjini Iringa, Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika.

Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar.

Jioni_hii%2C_Maandalizi_yakiendelea_katika_ukumbi_wa_Usambara_Hall%2C_Mjini_Iringa_ambapo_yata...jpg
 
Lakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi
Mkuu nachelea kusema wewe ni maiti yenye uwezo wa kuwaza japo haiwazi sawasawa!siasa isikulevye kudai katiba siyo tusi tusi ni kumwita aliyedai katiba gaidi.

Nje ya harakati hakuna siasa hata Samia siku ikifika utamsikia anasema nimeanza harakati za kuwania tena uraisi tofauti ya harakati za wanaccm na za Mbowe ni za CCM ni za kung'ang'ana wasipokwe madaraka ili kulinda shibe yao wakati za Mbowe kwa ufupi za upinzani ni harakati za kupigana ili wote wapate.
 
Back
Top Bottom