Maana ya pete ya ndoa

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Unapomvisha mwenza wako (mume/mke) pete siku ya ndoa inamaanisha hairuhusiwi kwenda ku'duu' nje ya ndoa. Pete ni ishara ya 'K' na kidole ni ishara ya 'M'. Kwa hyo pete inavoingizwa kwenye kidole ni tafsiri ya 'M' kuingizwa kwenye 'K'..
Heshimu ndoa yako!
SI unit 2012.
 
Kwa hyo ukivishwa pete ndo na ile M imepigwa kufuli au? basi kama ndo ivo ukitaka kuduu nje dili kuvua ili kufuli liondoke.
 
Back
Top Bottom