Maamuzi Magumu ya Magufuli Yatakavyojenga Heshima Mtaani na kuathiri Uchumi

ludoking

Senior Member
Oct 5, 2008
124
71
1) Vigogo.....hawawezi tena kuhonga magari, Nyumba na kusomesha vibinti vya chuo kwa sababu posho marupurupu na safari hamna.

2) Wafanyakazi wa kati......hawatabadilisha vigari wala kuhonga Samsung au iPhone kwa vibinti vya chuo kwa sababu hakuna madokezo na wanalazimika kujibana kamshahara hakatoshi,

3) Wanaojiuza Dodoma wakati wa bunge na waliopanga majumba ya kifahari mjini watapoteza wateja wakubwa wakubwa wanaojua kuhonga kwa sababu wateja hao watalazimika kuhudumia familia zao kukwepa gharama ya mapenzi.

4) Wenye Nyumba wtashusha kodi kwa sababu watu wengi watahama kutoka Nyumba nzima mpaka chumba na sebule kwani kipato kimepungua

5) Bei ya machangudoa kuporomoka kwa sababu hata wale wanaojiuza kwa gharama eti 1,000,000 kwa wiki au gari kwa mwezi wataanza kuchukua 7000 hivyo kuongeza ushindani na bei kushuka

6) Mahusiano ya wanafunzi kwa wanafunzi hasa vyuoni yatadumu kwa sababu mabinti wa chuo watalazimika kukaa na maboyfrend zao ili wapate vihela vya kula hostel

7) Wauzaji wa simu hasa Maduka ya Samsung na iPhone yatashuka kimauzo kwa kuwa idadi kubwa ya mabinti watahamia simu za kichina kwa kuwa mabuzi hayahongi tena baada ya posho na marupurupu kukatwa

8) Ugomvi ndani ya familia bora kwa sababu walizoea kula kusaza sasa wataanza kuishi kwa budget yaani sausage, mayai kuku kwenye friji hamna.

9) Heshima itaongezeka kwan wale waliizoea kuwachimba watu mikwara eti unanijua mimi nani kisa anamjua Rais au Rafiki wa karibu wa Rais au vijisenti watapungua kwa kiasi kikubwa

10) Heshima kwenye mahusiano hasa mabinti kwa mabwana zao itaongezeka kwa kuwa uzuri sio dili wahongaji hakuna hivyo watalazimika kuwanyenyekea boyfrend zao wawatunze.

Dah JPM bwana ni nouma maana anarudisha heshima kitaani.
 
hapo imeathiri uchumi kivipi? imejenga uchumi kwani national cake inakuwa equally divided na kupunguza gap kati ya walionacho na wasio nacho.wakati watu wachache wanapesa za kuchezea kwa kuhonga vibinti kuna watu wanakosa dawa hospital.hivyo badala ya kusema uchumi utaharibika uchumi unajengeka
 
Imeathiri uchumi wa wachache walio zoea kujipatia vya bure bila jasho na kuimarisha uchumi wa wengi
 
nimeipenda sana hyo atharu kwani mtaani tutafurahi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana.
 
1) Vigogo.....hawawezi tena kuhonga magari, Nyumba na kusomesha vibinti vya chuo kwa sababu posho marupurupu na safari hamna.

2) Wafanyakazi wa kati......hawatabadilisha vigari wala kuhonga Samsung au iPhone kwa vibinti vya chuo kwa sababu hakuna madokezo na wanalazimika kujibana kamshahara hakatoshi,

3) Wanaojiuza Dodoma wakati wa bunge na waliopanga majumba ya kifahari mjini watapoteza wateja wakubwa wakubwa wanaojua kuhonga kwa sababu wateja hao watalazimika kuhudumia familia zao kukwepa gharama ya mapenzi.

4) Wenye Nyumba wtashusha kodi kwa sababu watu wengi watahama kutoka Nyumba nzima mpaka chumba na sebule kwani kipato kimepungua

5) Bei ya machangudoa kuporomoka kwa sababu hata wale wanaojiuza kwa gharama eti 1,000,000 kwa wiki au gari kwa mwezi wataanza kuchukua 7000 hivyo kuongeza ushindani na bei kushuka

6) Mahusiano ya wanafunzi kwa wanafunzi hasa vyuoni yatadumu kwa sababu mabinti wa chuo watalazimika kukaa na maboyfrend zao ili wapate vihela vya kula hostel

7) Wauzaji wa simu hasa Maduka ya Samsung na iPhone yatashuka kimauzo kwa kuwa idadi kubwa ya mabinti watahamia simu za kichina kwa kuwa mabuzi hayahongi tena baada ya posho na marupurupu kukatwa

8) Ugomvi ndani ya familia bora kwa sababu walizoea kula kusaza sasa wataanza kuishi kwa budget yaani sausage, mayai kuku kwenye friji hamna.

9) Heshima itaongezeka kwan wale waliizoea kuwachimba watu mikwara eti unanijua mimi nani kisa anamjua Rais au Rafiki wa karibu wa Rais au vijisenti watapungua kwa kiasi kikubwa

10) Heshima kwenye mahusiano hasa mabinti kwa mabwana zao itaongezeka kwa kuwa uzuri sio dili wahongaji hakuna hivyo watalazimika kuwanyenyekea boyfrend zao wawatunze.

Dah JPM bwana ni nouma maana anarudisha heshima kitaani.

Magufuli sio wa maamuzi magumu, yeye ni wa maamuzi makini. maamuzi magumu ni kujiua
 
Mh,Dr.Magufuli shikamoo!!!

Sasa hivi watu wanaishi kwa nidhamu haijawahi tokea, Yale maisha ya kuigiza yote yamepotea.

Ukienda baa watu wanakunywa kwa nidhamu, hakuna wa kupitisha round kwakusema kama tulivyo mhudumu.

Sasa hivi wengi tunapanda nao daladala na mwendokasi maana hawana pesa ya kununua mafuta ya private car, kwasasa gari binafsi nyingi ziko makumbusho.

Ile jeuri ya nitakupiga nikulipe kwasasa haisikiki mitaani kote, watu wote adabu tupu

Na kale kajeuri kakujibizana na mtu maneno mawili,anakwambia unanijua mimi nani? Hakapo tena.

Na ile tabia ya michepuko na kupangisha mabinti nyumba ndogo imeisha kabisa na wale dada zangu wa nyumba ndogo wanalalama sasa hivi.

Na ile tabia ya mababa kutokula nyumbani na kula kwenye hotel siku zote imeisha na sasa wanakula na familia zao.

Wale watu waliokuwa wanaamka wanashinda vijiweni kwa Madili huku wakisema CCM haifai wakati wao ndo wanaichafua nao wamepotea na vijiwe vingi vimekufa.

Mh,Rais kwakweli ninakukubali endelea kukaza kamba hapo hapo usiachie ata kidogo, hata yule babu aliyekimbilia kule kwingine anapanga kurudi CCM baada ya kukosa cheo kule aliko.
By comrade
Mwita Nyarukururu
 
Stomach Thinkers & Seekers wa CCM mnateseka na kuweweseka na ndoto za mchana.
 
Nawewe ni mzururaji wa kifuatilia haya uliyoandika, kwani hii ndio ajira yako??
 
Tabia ya Masikini ni kuomba usiku na mchana tajiri afilisike......basi sawa wee endelea kuishi kama shetani.
 
Back
Top Bottom