Maalumu kwa wanywaji: Bar na Pub jijini Dar Es Salaam zenye burudani ya muziki wa live

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Naombeni mnipokee, rasmi nimejiunga kwenye umoja wa wanywaji Tanzania baada ya kupata kazi inayonilazimu kumwagilia moyo!

Kuna vingi vya kutazama ukiwa bar ukiondoa nyuso za watoto wazuri. Navutiwa na bar ambazo utakuta kuna vijana wana perform muziki fulani hivi tulivu kwenye vijukwaa uchwara! Hakika mawazo yangu hupotelea hapo!

Kwa watu wa Dar, tusaidizane kujulishana mahali bar hizi hupatikana. Ni vizuri kutujuza na ka location.

Nawasilisha.
 
Kabla ujaanza kununua bia..je mama yako mzazi ana hali gani huko kijijini na baba pia..au wadogo zako wakiwa wako vizuri kuliko ww basi fikiria madhara ya pombe kwanza kabla ujaanza kunjwa.
hakuna mlevi yyte asiyejuta asubuhi
 
Back
Top Bottom