Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,426
- 4,066
Shukrani mkuu, Dar Lux ofisi zao ziko sehemu gani? maana nasafiri kesho.Luxury kwa njia hiyo ni dar lux
Shukrani mkuu, Dar Lux ofisi zao ziko sehemu gani? maana nasafiri kesho.Luxury kwa njia hiyo ni dar lux
Nashukuru mkuu, vip kuna kahuduma chochote kanachopatkana kwa hyo 70 hela!?Mara ya mwisho ilikuwa elfu 70 kwa first class
Zipo shekilangoShukrani mkuu, Dar Lux ofisi zao ziko sehemu gani? maana nasafiri kesho.
Huduma ni ya kupatiwa kitanda mkuuNashukuru mkuu, vip kuna kahuduma chochote kanachopatkana kwa hyo 70 hela!?
Hehe...Huduma ni ya kupatiwa kitanda mkuu
Teh teh teh.. Kitanda, basi sina budi kusafiri na "mama chanja"Huduma ni ya kupatiwa kitanda mkuu
Hapo utakuwa umeamua jambo la busaraTeh teh teh.. Kitanda, basi sina budi kusafiri na "mama chanja"
"In lufufu wa mkandala voice"
Hapo utakuwa umeamua jambo la busara
sumatraMara kwa mara humu pamekuwa na thread za watu kuuliza nauli ya kutoka sehem flani kwenda sehemu fulani, pia wapo wenye waliuliza usafiri wa sehemu fulani nitapata wapi? Wapo pia waliouliza huko wanakokwenda ni wageni je ni tahadhari gani wachukue.
Mimi nikiwa kama mmoja wa wadau usafirishaji nitakuwa hapa kutoa kila update inayonifikia
Cc Invisible JamiiForums
Mara kwa mara humu pamekuwa na thread za watu kuuliza nauli ya kutoka sehem flani kwenda sehemu fulani, pia wapo wenye waliuliza usafiri wa sehemu fulani nitapata wapi? Wapo pia waliouliza huko wanakokwenda ni wageni je ni tahadhari gani wachukue.
Mimi nikiwa kama mmoja wa wadau usafirishaji nitakuwa hapa kutoa kila update inayonifikia
Cc Invisible JamiiForums
habari yako, nipanda dar luxhabari yako, ni basi gani zuri la kwenda mwanza. ningependa kujua nauli na pia kwa hapa morogoro ticket nitapata wapi?
Milion tatu masaa 32nauli ya kwenda Marekani ni Shingapi? na nachukua muda gani njiani
bora niende na Treni itakua shilingi ngapMilion tatu masaa 32