Maajabu ya siasa za tanzania

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Siasa za Tanzania zina vituko vingi. Juzi vyombo vya habari vimeripoti kuwa Waziri wa Ujenzi Dr. Magufuli amejiuzuru wadhifa wake. Kwa mshangao wangu, Katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi akakanusha kwenye vyombo vya habari. Kuna maswali mengi hapa. 1. Je Katibu mkuu wa Wizara ndiye msemaji wa Serikali ya Tanzania?
2. Aliyeripotiwa kujiuzuru ni Magufuli, inakuwaje asemewe na watu wengine? Kwanini Magufuli mwenyewe hakukanusa "uvumi huo"?
3. Hivi waziri wa habari wa Tanzania anafanyakazi gani kama siyo kutoa taarifa za serikali.?
 
Sasa hivi jukumu la msemaji wa serikali ni kama limekufa maana kila mtu hata wa ngazi ya kijiji amekuwa msemaji wa jambo lolote. Mwenyekiti wa kijiji anaweza kulisema jambo kubwa la kitaifa na watu wote tukakawa kimya.:embarassed2:
 
Back
Top Bottom