William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Habari za muda mchache uliopita kutoka Addis, Ethiopia ni kwamba leo AU imetundika picha za Mashujaa wa Africa katika kuta za kumbi zake, lakini hakuna picha za Mwalimu Nyerere, Dr. Kaunda!
- UJUMBE HAPA: Kwanza Bajeti ya AU 80% ni kutoka EU, je ni wao ndio wameamua kuandika upya historia au kuna something we don't know? HOWEVER: Mimi nilidhani mambo ya fitna ni bongo tu kumbe ni mzimu unatutafuna Africa nzima, wote tumekalia roho mbaya, fitina, chuki na wivu; I mean nani anaweza kuwa Shujaa katika Africa kuliko Kaunda, Mwalimu na Nkurumah?
- Kumbe Africans wote tupo sawa tu, sasa ngoja wenye nguvu watuandikie historia kwa sababu tu ya kutupa makombo kidogo!!! Kwa nini Tanzania tusi-protest Officially huko Addis, maana it does not make any sense kwa kweli!!
Biig Shoow!!