Maafisa wa Polisi wakamatwa kwa kulazimisha Rushwa ya Tsh. Milioni 1 baada ya kukamata Mzigo wa Simu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1698041080023.png

Maafisa wa upelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa (EACC) Kenya wamewakamata Maafisa wawili wa Polisi kutoka Kituo cha Polisi cha Eastleigh Kaskazini kwa tuhuma za kutaka Rushwa kwa Mfanyabiashara waliyemkamata na Mzigo wa Simu zenye thamani ya Tsh. 5,008,678.

Maafisa hao wamedaiwa kuvamia Duka la Mfanyabiashara huyo na kuchukua Mzigo bila sababu ya msingi na baadaye kumtaka atoe kFedha ili waweze kuuachia, kitendo kilichosababisha Mfanyabiashara huyo kuwaripoti kwa Mamlaka hiyo.

EACC imesema imekuwa ikipokea malalamiko mengi ya Unyang'anyi na Rushwa zinazohusisha Maafisa wa Polisi, pia, imebaini matukio ya Rushwa hayaishii katika utekelezaji wa Sheria pekee, bali kuna tamaa kubwa ya Fedha kwa Maafisa wa Polisi kutoka kwa Wananchi pamoja na kuwabambikiza Kesi kinyume na Sheria.

============

Detectives from the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) have arrested two Police Constables (PC) stationed at Eastleigh North Police Station for demanding a Ksh.100,000 bribe from a resident businessman.

PC Raphael Nzioka and his counterpart Nancy Kerubu were apprehended on Thursday after reportedly storming a mobile shop in the busy Nairobi neighbourhood and confiscating cellular devices worth Ksh.300,000 without any justifiable cause.

“Subsequently, the officers demanded a bribe of Ksh.100,000 from the complainant in order to return the confiscated stock of mobile phones prompting the trader to seek help from the Commission,” a source at EACC told Citizen Digital.

"Upon verification of the allegations, EACC detectives mounted an operation leading to the arrest of the two police officers while receiving the demanded bribe."

The two officers were interrogated at Integrity Centre Police Station before being whisked away to Kilimani Police Station for detainment pending further processing.

Confirming the arrest, EACC Spokesperson Eric Ngumbi noted that the commission has been receiving numerous complaints about instances of extortion and bribery involving police officers.

"The emerging trend shows that in most cases, it is no longer bribery to forbear law enforcement action, but pure extortion of money from citizens who are not facing any legitimate accusation of violating the law," he said.

"To mitigate this menace and alleviate the pain visited upon citizens by such incidents, EACC expects Police Commanders at all levels to take up the responsibility of ensuring that officers under their command refrain from such despicable acts that are not only criminal but also immoral."

CITIZEN DIGITAL
 
Polisi ni kazi iliyotajwa katika Biblia kuwa ni wala rushwa na wabambikia kesi, maana bwana Yesu alipoulizwa na askari polisi yakuwa nao wafanyeje ili kuurithi ufalme wa mbinguni, bwana Yesu aliwajibu yakwamba watosheke na mishahara yao na wasimshitaki mtu kwa uongo.

Cha kuwakumbusha tu ndugu polisi wote popote pale mlipo ni kwamba maandiko haya bado yanasimama hadi leo, jirekebisheni ili mkifa muuone ufalme wa mbingu.
 
Back
Top Bottom