Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 792
- 2,008
Vyombo mbalilmbali leo asubuhi vimereport taarifa ya uvamizi wa FBI katika jumba la aliekuwa Rais wa marekani Donald Trump. Kupitia vyanzo mbalimbali vya taarifa vimebainisha kuwa Rais huyo mstaafu huenda akawa na ( white House record ) hivyo kuhatarisha Siri za serikali ya marekani. Kwanini Trump haaminiki?