Maadhimisho ya Mwaka Mmoja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuwa madarakani

Ili kuepuka habali zisizo za uhakika inawabdi TBC wawepo kila tukio.waliyo yafanya juz wanatakiwa kuomba radhi Mara 360,na walipe fidia ya Tsh.1(moja).watu tulirukaruka kwa Pongezi kemkem za rais wadunia kumbe hakuna ktu.
 
Mkuu wa mkoa wa Daresalam ahazimisha mwaka mmoja wa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar.Nia ni kueleza mafanikio na Changamoto alizokutana nazo akiwa kama mkuu wa mkoa wa Dar.
Nimatumaini yangu leo atavunja ukimya na kuonyesha vyeti
More updates to come
Source Azam two.
☆TID anaongea kuihasa jamii athari mbali za madawa ya kulevya na kusititiza watu wawaombee waathirika waache matumizi ya madawa ya kulevya. Anasema mtumiaji anapoteza uelekeo.anasema hakuna chama kitakachoruhusu mtumiaji wa madawa ya kulevya kujiunga na chama iwapo kitakua makini( anamponda wema)
☆Daktari anayehusika na madawa anaongea kwa kuelezea magonjwa yatokanayo na madawa ya kulevya. Halafu inaoneka mateja wengi wapo kwenye kikao. Daktari anasema mtu akiwa anatumia madawa ni vyepesi kupata maambukizi ya UKIMWI, ULAIBU, TB, MENO. Uharibifu wa mazingira kubaka uhalifu na hivyo kuliongezea taifa gharama za kuwahudumia
Hizo mbwembwe za bure tunahitaji vyeti
 
hongera sana RC Makonda kwa kutimiza mwaka moja, MUNGU akutangulie pamoja na ulinzi wake uwe juu yako katika kutimiza majukumu yako, tunasema ''penye mafaniko apakosi upinzani'' songa mbele usitazame nyuma
 
mimi sio chadema ila usiwaite magenge ya wahalifu,,hizi siasa na vyama ni njia ya kufikia maendeleo na wala sio chuki..
Nami nilisema hili na nakupongeza sana. Hili si suala la wafuasi wa vyama fulani, ni suala la watu wote. Tuache itikadi zetu na sheria zifuatwe tu, anayetuhumiwa atoe vyeti kuonyesha ukomavu wake na uhalali wa elimu yake ili majungu yaishe kama kweli ni majungu
 
Bashite anazidi kumchoresha rais kwa kufanya mbwembwe ambazo hazijawahi kutokea Tanzania
aaf9c0c921069df69446a55812986f51.jpg
 
Kunywa sumu ufe, makonda ni muhimu kuliko wewe


Mkuu kuna sehemu nimesema nilitaka hayo maadhimisho yawe kwa akili yangu Bashite akanipiku??? Sasa naanzaje kunywa sumu wakati Bashite mwenyewe sijawai hata muona live.

Mwambie Daudi Bashite tunataka vyeti
 
mtupatie yanayojiri wengine tunategemea hapa hapa wadau!!!
Ni hudhurio la kila aina ya wakazi wa DSM wakiwemo viongozi wa dini, wasanii, serikali, vyama vya kijamii, nk. Mada kuu ni kumpongeza RC Makonda kwa aliyokwisha kufanya DSM katika kipindi chake cha mwaka mmoja kama RC, hasa vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya inayomjengea maadui.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira
Mkulu na chaguo lake wanasema wanaomsema ana chet fake n wahusika wa madawa ya kulevya then leo hayohayo madawa ya kulevya imekuwa mwamvuli wa kumfunika chaguo lake
 
Back
Top Bottom