Ma-x wote wananiblock. Baada ya kuwa na mwanamke kutoka ughaibuni

Sjaumia..niumie wanawake zaid ya 6 ambao nishaishi nao pika pakua...sema sijapenda tu..nilitaka waone jinsi gan mwanaume hana hasara na jinsi nilivyo upgrade..

Yaan imewachoma had wameniblock.hahahahahahahhahahahahahahahaha..maisha haya
Mkuu una tatizo wewe....fanya kwa vificho ishu ka hizo maana mkeo halali yupo miongoni mwao,muda mwingine sifa za kijinga huponza mwili
 
Mm huwa naview status zao vzuri kabsa na akipost video ista naiview halafu kimyaaa,mpaka mmoja ashawahi kunifata inbox akaniambie we mwaanaume ni kauzu sijawhi ona,halafu guess what sikuijibu pia hyo msg,kimyaaa...wao huwa wananiblock na kuni-unblock mwenyewe me sina habariii
 
Ukijichunguza sana utagundua wewe ndio unateseka. Ukiona unafanya kitu kwa ajili ya kujionesha kwa mwingine ujue tayari jiwe limekurudia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom