Ma X wetu na harusi zetu

TUPAC WA MWAKALELI

JF-Expert Member
May 23, 2014
354
105
Harusi za Siku hizi wanakamati na Ma-meds
wanakua Ma-X Wetu!! Na kiroho safi
wanachanga vizuri na wanacheza sana!
Usikosane na X wako Mpendwa...!!
 
Hii michezo yenu na Ma-ex mtakuja kuijutia...

Msije kusema kuwa sikuwambia!
 
Koba, elewa kwamba waandishi wa nyumbani ni waoga kuonekena kimbelembele na hasa wataonekana hawana "nidhamu au heshima". Waandishi wetu bado hawajafikia mahali pa kumkatisha mtu anapoanza kuzungumza na kuingilia mtiririko wa mazungumzo yake na kumuuliza maswali ya kina. Binafsi, nilitarajia waandishi wangefanya unavyosema lakini ingekuwa pale anapomaliza tu na kufungua ukumbi wa maswali basi wanaanza kumuuliza na tena wangemuuliza on specifics. Ila well, ndio uandishi wa bongo.

Makubwa ambae hujapitia njia nyingi ni moja tu hadi mnaoana inakuaje?
 
Back
Top Bottom