Ma-DJ wa Enzi zetu za 1990

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Katikati ya jiji ndiko kulikuwa kumekucha vilivyo kwa madisco. Ukienda YMCA Club unakutana na DJ Choggy Sly (Chogole Seleman) na DJ KALIKALI ( Double K, Double A, Double L, Double I). DJ Kalikali was my favourite DJ ( Huyu Nshomile alikuwa ndiye DJ mkali kuliko wote kwa kutema yai na kupangilia muziki- wadada walijigonga sana kwake).

Ukienda Motel Agip unamkuta DJ Luke na DJ Deo Composer wanaporomosha magoma ya kuruka majoka na raba mtoni zao. Ukiamua kupanda ghorofa ya saba New Africa hotel unakutana na DJ Emperor ( huyu Joseph Kusaga mmiliki wa Clouds FM) na Boniface Kilosa DJ Bonny Luv.

Mbowe hotels mwanzoni ilikuwepo Space 1900 Discotheque iliyokuwa kiota cha maraha. Pale unamkuta DJ Chriss Phabby the Lover, DJ Super Deo, DJ Paul Mcghee na DJ Joe Johnson Hollela.

Freeman Mbowe aliwaondoa Space 1900 Discotheque ambao wakahamia YMCA na akaanzisha RSVP huku madj wakiwa wakongwe DJ Seydou na DJ Jerry Kotto (Hawa walikuwa madj maarufu kuliko wote Dsm si tu kwa kupanga ngoma vizuri bali wao ndio walikuwa kila mara wa kwanza kuzipata ngoma mpya zote kali).

Ukizuga kama unaelekea Kariakoo, unakutana na Keys hotel ya Mzee Ndesamburo aka Ndesapesa ambako unawakuta DJ Eddy Sally na DJ Sweet Francis ( hawa ndio walikuwa Madj wa kwanza kupata vyombo vipya vya kisasa vya disco)

Ukienda Mawingu, Sea View unakutana na DJ Emperor na DJ Mao Luhangisa wakiwajibika vilivyo. Pink Coconut kulikuwa na DJ Ajib na DJ Luke. Kilimanjaro Pool side iliyokuja baadae kulikuwa na DJ Flesh na DJ Mshua ambao walikuwa wakikonga nyoyo huku vijana wakiburudika kwa upepo mwanana. Ukienda Maggot (ukumbi maarufu kwa machangu wa kila rangi waliokuwa ni karaha kubwa) unamkuta DJ Bubu ( ye alikuwa haongei bali ni kufurumusha madebe mwanzo mwisho. Pia kulikuwa na dj mtanashati DJ Jesse Mwalongo (Club Afrique, London).

Ukienda Jetset Disco kulikokuwa maarufu kuliko maelezo unamkuta DJ Rusual na Young Omar. Ukienda Moon Dust Discotheque na baadae Lan'gata unamkuta DJ Young Kim (Kim & the Boyz). Huyu DJ ndiye alikuwa bingwa wa kuandaa Disco dancing competitions ambapo aliwahi kuandaa Mashindano ya kucheza disco Afrika Mashariki na mshindi akawa Mkenya Kanda Kid. Ukienda Villa Motel Mwananyamala unamkuta DJ Young Millionaire ( ambaye ndiye huyu anaetamba sana sasa na Star Tv).

Baadae disco likasambaa kwenye fukwe za hotel za nje ya jiji. Watoto wa washua walitumia magari ya madingi wao ila vijana wengi walitumia sana Mini Bus moja matata iliyoitwa SCABA SCUBBA.

Ukienda Rungwe Oceanic hotels ya Mzee Mwakitwange unamkuta DJ Ngomeley na DJ Roma Pop Juice. Jamaa hao walikuwa noma sana.

Ukizuka jirani yake yaani Silver Sands hotel unakutana na DJ John Peter Pantalakis. Ukisogelea Club Africana ulikuwa hubaki kushangaa simba aliyekuwa akifugwa hapo bali midundo na manjonjo ya kufa mtu ya DJ Mehboob na DJ John Bure.

Msasani Beach Club ilikuwa club maarufu sana ambako alikuwepo mtoto wa mjini DJ Nassor Born City na DJ Nigga J ( ndo huyu Masoud Masoud).

Enzi hizo staili maarufu za uchezaji disco ilikuwa ni Robbot na Break dance. Disco dancing competitions zilikuwa za kumwaga. Mabingwa wa kucheza waliokuwa wakipewa fedha na vikombe enzi hizo ni Abdul Shalamaar, Kamal Mabobish, Checkibob Tito Kalumanga,Raji, Rumi, Khairoon, Charles Mbowe, Patrick Chiume 'Tass', Elvis Cool J, Mzee Bachu, Black Moses, Ommy Sydney, Athman digadiga"Double D', Bosco L Cool J, Super Ngedele na Jimmy To London.

Enzi hizo mpiga picha wa ukwee na maarufu kuliko wote alikuwa ni Muhidini Issa Michuzi ambae uhodari wa upigaji wake picha hauna mpinzani hadi leo.

J6 ndie aliekua na pisi kali enzi hizo kila mwaka
 
Kama zama hizo hukuzishuhudia mtu atasoma na kutoambulia kitu umenikumbusha mbali wengi katika djs wametangulia mbele za haki kwa uchache walio hai ni Jose bonny masoud masoud hao kwa haraka haraka wacha niendelee kukumbuka vizuri vya zamani
 
Enzi hizo disco watu walikuwa wanalijulia
Mpk kucheza sahv watu wanahishia kutingisha
Mikalio tu

Ova
That was a time when men use to be men and women use to be women. People use to say what they mean and they mean what they say.

Love was based on what a heart feels and not udangaji.

Life was simple and free. Acha kabisa, inaingia disco bila fujo unaachana nalo.

Unaweka chupa ya bia kwenye dance floor atakayeigusa ndio ngumi zinaanza.

Atakayekanyaga kivuli chako ngumi zinarushwa.

Enzi hiyo nguo zilikuwa deglisi na car wash ya jeans halafu unaachia vifungo unakuwa umepiga nondo hatari hii ndio ilikuwa inafanya kila mtu mbabe maana hauhitaji mabaunsa yani robo tatu ya disco limejaa watemi.
 
Hotel 77 Arusha enzi hizo kulikuwa na totoz wa kishua wakali kinoma pia majimama wanaopenda mabrazamen. Yuko wapi Elisante jamaa alikuwa na mavumba hatari anaingia kiwanja na totoz hadi wa3 anawala hadharani duuuuuh
 
Katikati ya jiji ndiko kulikuwa kumekucha vilivyo kwa madisco. Ukienda YMCA Club unakutana na DJ Choggy Sly (Chogole Seleman) na DJ KALIKALI ( Double K, Double A, Double L, Double I). DJ Kalikali was my favourite DJ ( Huyu Nshomile alikuwa ndiye DJ mkali kuliko wote kwa kutema yai na kupangilia muziki- wadada walijigonga sana kwake).

Ukienda Motel Agip unamkuta DJ Luke na DJ Deo Composer wanaporomosha magoma ya kuruka majoka na raba mtoni zao. Ukiamua kupanda ghorofa ya saba New Africa hotel unakutana na DJ Emperor ( huyu Joseph Kusaga mmiliki wa Clouds FM) na Boniface Kilosa DJ Bonny Luv.

Mbowe hotels mwanzoni ilikuwepo Space 1900 Discotheque iliyokuwa kiota cha maraha. Pale unamkuta DJ Chriss Phabby the Lover, DJ Super Deo, DJ Paul Mcghee na DJ Joe Johnson Hollela.

Freeman Mbowe aliwaondoa Space 1900 Discotheque ambao wakahamia YMCA na akaanzisha RSVP huku madj wakiwa wakongwe DJ Seydou na DJ Jerry Kotto (Hawa walikuwa madj maarufu kuliko wote Dsm si tu kwa kupanga ngoma vizuri bali wao ndio walikuwa kila mara wa kwanza kuzipata ngoma mpya zote kali).

Ukizuga kama unaelekea Kariakoo, unakutana na Keys hotel ya Mzee Ndesamburo aka Ndesapesa ambako unawakuta DJ Eddy Sally na DJ Sweet Francis ( hawa ndio walikuwa Madj wa kwanza kupata vyombo vipya vya kisasa vya disco)

Ukienda Mawingu, Sea View unakutana na DJ Emperor na DJ Mao Luhangisa wakiwajibika vilivyo. Pink Coconut kulikuwa na DJ Ajib na DJ Luke. Kilimanjaro Pool side iliyokuja baadae kulikuwa na DJ Flesh na DJ Mshua ambao walikuwa wakikonga nyoyo huku vijana wakiburudika kwa upepo mwanana. Ukienda Maggot (ukumbi maarufu kwa machangu wa kila rangi waliokuwa ni karaha kubwa) unamkuta DJ Bubu ( ye alikuwa haongei bali ni kufurumusha madebe mwanzo mwisho. Pia kulikuwa na dj mtanashati DJ Jesse Mwalongo (Club Afrique, London).

Ukienda Jetset Disco kulikokuwa maarufu kuliko maelezo unamkuta DJ Rusual na Young Omar. Ukienda Moon Dust Discotheque na baadae Lan'gata unamkuta DJ Young Kim (Kim & the Boyz). Huyu DJ ndiye alikuwa bingwa wa kuandaa Disco dancing competitions ambapo aliwahi kuandaa Mashindano ya kucheza disco Afrika Mashariki na mshindi akawa Mkenya Kanda Kid. Ukienda Villa Motel Mwananyamala unamkuta DJ Young Millionaire ( ambaye ndiye huyu anaetamba sana sasa na Star Tv).

Baadae disco likasambaa kwenye fukwe za hotel za nje ya jiji. Watoto wa washua walitumia magari ya madingi wao ila vijana wengi walitumia sana Mini Bus moja matata iliyoitwa SCABA SCUBBA.

Ukienda Rungwe Oceanic hotels ya Mzee Mwakitwange unamkuta DJ Ngomeley na DJ Roma Pop Juice. Jamaa hao walikuwa noma sana.

Ukizuka jirani yake yaani Silver Sands hotel unakutana na DJ John Peter Pantalakis. Ukisogelea Club Africana ulikuwa hubaki kushangaa simba aliyekuwa akifugwa hapo bali midundo na manjonjo ya kufa mtu ya DJ Mehboob na DJ John Bure.

Msasani Beach Club ilikuwa club maarufu sana ambako alikuwepo mtoto wa mjini DJ Nassor Born City na DJ Nigga J ( ndo huyu Masoud Masoud).

Enzi hizo staili maarufu za uchezaji disco ilikuwa ni Robbot na Break dance. Disco dancing competitions zilikuwa za kumwaga. Mabingwa wa kucheza waliokuwa wakipewa fedha na vikombe enzi hizo ni Abdul Shalamaar, Kamal Mabobish, Checkibob Tito Kalumanga,Raji, Rumi, Khairoon, Charles Mbowe, Patrick Chiume 'Tass', Elvis Cool J, Mzee Bachu, Black Moses, Ommy Sydney, Athman digadiga"Double D', Bosco L Cool J, Super Ngedele na Jimmy To London.

Enzi hizo mpiga picha wa ukwee na maarufu kuliko wote alikuwa ni Muhidini Issa Michuzi ambae uhodari wa upigaji wake picha hauna mpinzani hadi leo.

J6 ndie aliekua na pisi kali enzi hizo kila mwaka
Aiseee Mkuu umetisha sana!! Naona Hapo DJ JD Matlou yupo mazimbu analima mahindi ahaha.

DJ Emperor (Joe Kusaga).

Young Milionea ( Jacob Usungu) Roving DJ.
 
Siku hizi eti kuna dj sijui sinyorita!

Japokuwa technology ilikuwa sio advanced sana lakini inaonekana jamaa walitisha..

Baunsa wa nini ikiwa nusu ya disko ni watemi?😀😀😀
 
...duh hii ya competition ya ma disco dancers ilikua poa Sana sana...Yani nakumbuka black Moses...na wengine wawili walioshindana nae Sana ...mmoja toka kigoma na mwingine Tanga alikua anacheza Kama Michael Jackson..aisee kuna wakati walikuja jkt bulombora kutumbuiza.duuuh...jamaa ni balaa...kuna mmoja pia toka Arusha..sijui ndio black Moses!..huyu wa kigoma alikua balaa..
 
Mkuu mtoa hoja umenitoa machozi baada ya kusoma uzi wako huu ambao ni A1,yes kipindi hicho nchi ina heshima na adabu,na nimesikitika mno huyu dancer BOSCO COOL J,alikuja kufa kifo cha utatanishi sana pale Cape town,alikua very sweet guy....we live our life yeah nhe
 
Katikati ya jiji ndiko kulikuwa kumekucha vilivyo kwa madisco. Ukienda YMCA Club unakutana na DJ Choggy Sly (Chogole Seleman) na DJ KALIKALI ( Double K, Double A, Double L, Double I). DJ Kalikali was my favourite DJ ( Huyu Nshomile alikuwa ndiye DJ mkali kuliko wote kwa kutema yai na kupangilia muziki- wadada walijigonga sana kwake).

Ukienda Motel Agip unamkuta DJ Luke na DJ Deo Composer wanaporomosha magoma ya kuruka majoka na raba mtoni zao. Ukiamua kupanda ghorofa ya saba New Africa hotel unakutana na DJ Emperor ( huyu Joseph Kusaga mmiliki wa Clouds FM) na Boniface Kilosa DJ Bonny Luv.

Mbowe hotels mwanzoni ilikuwepo Space 1900 Discotheque iliyokuwa kiota cha maraha. Pale unamkuta DJ Chriss Phabby the Lover, DJ Super Deo, DJ Paul Mcghee na DJ Joe Johnson Hollela.

Freeman Mbowe aliwaondoa Space 1900 Discotheque ambao wakahamia YMCA na akaanzisha RSVP huku madj wakiwa wakongwe DJ Seydou na DJ Jerry Kotto (Hawa walikuwa madj maarufu kuliko wote Dsm si tu kwa kupanga ngoma vizuri bali wao ndio walikuwa kila mara wa kwanza kuzipata ngoma mpya zote kali).

Ukizuga kama unaelekea Kariakoo, unakutana na Keys hotel ya Mzee Ndesamburo aka Ndesapesa ambako unawakuta DJ Eddy Sally na DJ Sweet Francis ( hawa ndio walikuwa Madj wa kwanza kupata vyombo vipya vya kisasa vya disco)

Ukienda Mawingu, Sea View unakutana na DJ Emperor na DJ Mao Luhangisa wakiwajibika vilivyo. Pink Coconut kulikuwa na DJ Ajib na DJ Luke. Kilimanjaro Pool side iliyokuja baadae kulikuwa na DJ Flesh na DJ Mshua ambao walikuwa wakikonga nyoyo huku vijana wakiburudika kwa upepo mwanana. Ukienda Maggot (ukumbi maarufu kwa machangu wa kila rangi waliokuwa ni karaha kubwa) unamkuta DJ Bubu ( ye alikuwa haongei bali ni kufurumusha madebe mwanzo mwisho. Pia kulikuwa na dj mtanashati DJ Jesse Mwalongo (Club Afrique, London).

Ukienda Jetset Disco kulikokuwa maarufu kuliko maelezo unamkuta DJ Rusual na Young Omar. Ukienda Moon Dust Discotheque na baadae Lan'gata unamkuta DJ Young Kim (Kim & the Boyz). Huyu DJ ndiye alikuwa bingwa wa kuandaa Disco dancing competitions ambapo aliwahi kuandaa Mashindano ya kucheza disco Afrika Mashariki na mshindi akawa Mkenya Kanda Kid. Ukienda Villa Motel Mwananyamala unamkuta DJ Young Millionaire ( ambaye ndiye huyu anaetamba sana sasa na Star Tv).

Baadae disco likasambaa kwenye fukwe za hotel za nje ya jiji. Watoto wa washua walitumia magari ya madingi wao ila vijana wengi walitumia sana Mini Bus moja matata iliyoitwa SCABA SCUBBA.

Ukienda Rungwe Oceanic hotels ya Mzee Mwakitwange unamkuta DJ Ngomeley na DJ Roma Pop Juice. Jamaa hao walikuwa noma sana.

Ukizuka jirani yake yaani Silver Sands hotel unakutana na DJ John Peter Pantalakis. Ukisogelea Club Africana ulikuwa hubaki kushangaa simba aliyekuwa akifugwa hapo bali midundo na manjonjo ya kufa mtu ya DJ Mehboob na DJ John Bure.

Msasani Beach Club ilikuwa club maarufu sana ambako alikuwepo mtoto wa mjini DJ Nassor Born City na DJ Nigga J ( ndo huyu Masoud Masoud).

Enzi hizo staili maarufu za uchezaji disco ilikuwa ni Robbot na Break dance. Disco dancing competitions zilikuwa za kumwaga. Mabingwa wa kucheza waliokuwa wakipewa fedha na vikombe enzi hizo ni Abdul Shalamaar, Kamal Mabobish, Checkibob Tito Kalumanga,Raji, Rumi, Khairoon, Charles Mbowe, Patrick Chiume 'Tass', Elvis Cool J, Mzee Bachu, Black Moses, Ommy Sydney, Athman digadiga"Double D', Bosco L Cool J, Super Ngedele na Jimmy To London.

Enzi hizo mpiga picha wa ukwee na maarufu kuliko wote alikuwa ni Muhidini Issa Michuzi ambae uhodari wa upigaji wake picha hauna mpinzani hadi leo.

J6 ndie aliekua na pisi kali enzi hizo kila mwaka
Sijui nikutumia lori zima la maji ya dhahabu kutoka pale Ilala Mchikichini, hakika hiyo ndio ilikuwa orodha ya Madj maarufu,miaka ile ilikuwa ni kutumia Technics na santuri tu,hakukuwa na CD, Michuzi ndie alikuwa photographer pekee pale YMCA na kwenye kumbi za starehe, ila umemsahau Ra Pompidou huyu ambaye sasa yupo na wana Indege na pia miaka ile kulikuwa na bendi ya Reggea ya Jah Kimbuteh nayo ilitikisa sana kwa vijana wa jijini hapa ni baada ya zile bendi za kupiga muziki wa kuiga kufa ,nyingi ya bendi hizo zilikuwa za watoto wa kishua waliokuwa wanaishi Upanga.
 
Katikati ya jiji ndiko kulikuwa kumekucha vilivyo kwa madisco. Ukienda YMCA Club unakutana na DJ Choggy Sly (Chogole Seleman) na DJ KALIKALI ( Double K, Double A, Double L, Double I). DJ Kalikali was my favourite DJ ( Huyu Nshomile alikuwa ndiye DJ mkali kuliko wote kwa kutema yai na kupangilia muziki- wadada walijigonga sana kwake).

Ukienda Motel Agip unamkuta DJ Luke na DJ Deo Composer wanaporomosha magoma ya kuruka majoka na raba mtoni zao. Ukiamua kupanda ghorofa ya saba New Africa hotel unakutana na DJ Emperor ( huyu Joseph Kusaga mmiliki wa Clouds FM) na Boniface Kilosa DJ Bonny Luv.

Mbowe hotels mwanzoni ilikuwepo Space 1900 Discotheque iliyokuwa kiota cha maraha. Pale unamkuta DJ Chriss Phabby the Lover, DJ Super Deo, DJ Paul Mcghee na DJ Joe Johnson Hollela.

Freeman Mbowe aliwaondoa Space 1900 Discotheque ambao wakahamia YMCA na akaanzisha RSVP huku madj wakiwa wakongwe DJ Seydou na DJ Jerry Kotto (Hawa walikuwa madj maarufu kuliko wote Dsm si tu kwa kupanga ngoma vizuri bali wao ndio walikuwa kila mara wa kwanza kuzipata ngoma mpya zote kali).

Ukizuga kama unaelekea Kariakoo, unakutana na Keys hotel ya Mzee Ndesamburo aka Ndesapesa ambako unawakuta DJ Eddy Sally na DJ Sweet Francis ( hawa ndio walikuwa Madj wa kwanza kupata vyombo vipya vya kisasa vya disco)

Ukienda Mawingu, Sea View unakutana na DJ Emperor na DJ Mao Luhangisa wakiwajibika vilivyo. Pink Coconut kulikuwa na DJ Ajib na DJ Luke. Kilimanjaro Pool side iliyokuja baadae kulikuwa na DJ Flesh na DJ Mshua ambao walikuwa wakikonga nyoyo huku vijana wakiburudika kwa upepo mwanana. Ukienda Maggot (ukumbi maarufu kwa machangu wa kila rangi waliokuwa ni karaha kubwa) unamkuta DJ Bubu ( ye alikuwa haongei bali ni kufurumusha madebe mwanzo mwisho. Pia kulikuwa na dj mtanashati DJ Jesse Mwalongo (Club Afrique, London).

Ukienda Jetset Disco kulikokuwa maarufu kuliko maelezo unamkuta DJ Rusual na Young Omar. Ukienda Moon Dust Discotheque na baadae Lan'gata unamkuta DJ Young Kim (Kim & the Boyz). Huyu DJ ndiye alikuwa bingwa wa kuandaa Disco dancing competitions ambapo aliwahi kuandaa Mashindano ya kucheza disco Afrika Mashariki na mshindi akawa Mkenya Kanda Kid. Ukienda Villa Motel Mwananyamala unamkuta DJ Young Millionaire ( ambaye ndiye huyu anaetamba sana sasa na Star Tv).

Baadae disco likasambaa kwenye fukwe za hotel za nje ya jiji. Watoto wa washua walitumia magari ya madingi wao ila vijana wengi walitumia sana Mini Bus moja matata iliyoitwa SCABA SCUBBA.

Ukienda Rungwe Oceanic hotels ya Mzee Mwakitwange unamkuta DJ Ngomeley na DJ Roma Pop Juice. Jamaa hao walikuwa noma sana.

Ukizuka jirani yake yaani Silver Sands hotel unakutana na DJ John Peter Pantalakis. Ukisogelea Club Africana ulikuwa hubaki kushangaa simba aliyekuwa akifugwa hapo bali midundo na manjonjo ya kufa mtu ya DJ Mehboob na DJ John Bure.

Msasani Beach Club ilikuwa club maarufu sana ambako alikuwepo mtoto wa mjini DJ Nassor Born City na DJ Nigga J ( ndo huyu Masoud Masoud).

Enzi hizo staili maarufu za uchezaji disco ilikuwa ni Robbot na Break dance. Disco dancing competitions zilikuwa za kumwaga. Mabingwa wa kucheza waliokuwa wakipewa fedha na vikombe enzi hizo ni Abdul Shalamaar, Kamal Mabobish, Checkibob Tito Kalumanga,Raji, Rumi, Khairoon, Charles Mbowe, Patrick Chiume 'Tass', Elvis Cool J, Mzee Bachu, Black Moses, Ommy Sydney, Athman digadiga"Double D', Bosco L Cool J, Super Ngedele na Jimmy To London.

Enzi hizo mpiga picha wa ukwee na maarufu kuliko wote alikuwa ni Muhidini Issa Michuzi ambae uhodari wa upigaji wake picha hauna mpinzani hadi leo.

J6 ndie aliekua na pisi kali enzi hizo kila mwaka
Roma Pop Juice alikuwa anamiliki na kuendesha moja ya daladala matata sana mwanzoni mwa enzi za mzee Mwinyi baada ya kuwepo na daladala za Chai Maharage.
 
Back
Top Bottom