M4C Yavamia Rombo kwa kasi ya ajabu!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Hapo jana Nikiwa natokea maeneo ya Rongai huko Rombo Kilimanjaro nilikutana na gari la matangazo likitangaza juu ya mkutano wa chadema utakaofanyikia maeneo ya Tarakea na kwa taarifa nilizosikia ni kwamba makamanda Mbowe na Slaa watakuwa jukwaani kuhutubia.kufika maeneo ya mkuu nilikuwepo na makada wengi wa ccm kwenye grocery moja na wanaelezea hofu waliyo nayo juu ya mabadiliko yatakayofanywa na chdm huko rombo kwamba wananchi wengi watahamia chadema!Mlioko huko mtujuze kinachojiri p/se!
 
Mhe.Dr.Slaa atakuwepo Arusha na Kamanda wa anga Mhe.Freeman Mbowe atakuwepo Rombo kuanzia saa 8 mchana. Atapokelewa kwa maandamano makubwa yatakayoongozwa na Mwenyeji wake Mhe.Joseph Selasini.
Pamoja na M4C, Mhe.Mbowe atamnadi Mgombea udiwani wa Kata ya Nainjara Reha.
 
nimikutana pickup ya M4C hapa mombo iko speed kweli bila shaka inawahi kati ya mikutano hiyo..
 
M4C ni KIMBUNGA kisipoangusha nyumba, lazima king'oe paa...! Twanga pote-pote-Peopleeees Poweeeer-Hakuna kulala mpaka kieleweke!

Ukombozi wa nchi unakaribia, wananchi tuungane kumfukuza aliyekuwa mtawala akajigeuza na kuwa mkoloni mweusi!
 
Mhe.Dr.Slaa atakuwepo Arusha na Kamanda wa anga Mhe.Freeman Mbowe atakuwepo Rombo kuanzia saa 8 mchana. Atapokelewa kwa maandamano makubwa yatakayoongozwa na Mwenyeji wake Mhe.Joseph Selasini.
Pamoja na M4C, Mhe.Mbowe atamnadi Mgombea udiwani wa Kata ya Nainjara Reha.

Go Makamanda wetu Go......Mbowe na Dr Slaa...
 
Huko Rombo watu walishatubu na kuachana na dhambi ya UCCM si ni mwendelezo tu wa kuimarisha nyumba. All the best!!!!
 
Lile neno la vyama vya msimu sijalisikia siku nyingi sasa.
 
Slaa ina maana amekuwa Jini mpaka ahutubie mikutano miwili kwa wakati mmoja(Rombo na Arusha)
 
Back
Top Bottom