M4C, Mkoa wa Kilimajaro mmetusahau jamani hasa hasa Moshi (v)

Mtabe

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
675
96
kwa heshima na taadhima naomba nitoe ujumbe wangu kwa uongozi wa cdm mimi kama mwana m4c ambae nilizindua m4c pale naura springs hotel. Ktk mkoa mzima wa klm m4c bado haijafika kabisa hivyo basi naomba kutoa wito kwa cdm kuangalia upya ratiba ya m4c hasahasa moshi vijiji kwa kwa mh. Cyril chami. naomba kuwasilisha.
 
Tatizo Hampendi kuchangia kikapu ndo maana tukaona tukija huko itakuwa hasara kwa chama wacha kwanza tukusanye mikoa mingine
 
M4c nadhani ni kwa ajili ya kwenda kuamsha waliolala, kwani Moshi kuna CCM au yamebaki majengo tu?
 
Moshi wameshaamka hapo hata 1sec inatosha kabisa kueleweka ukizingatia huko hamna mambumbumbu not easy kurubuniwa sasa hapo hatutumii nguvu nyingi ,hapo tutakuja 1/10/2015 bado faida ipo
 
Back
Top Bottom