M4C Karibuni Tanga

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
M4C sijui kwa nini mnaziogopa mikoa ya pwani. Tanga kumelala mno, bado wanaimba CCM hoyee... Siye kama mzee mzima wa Mondouli ahamii CDM. Basi sisi tunakuja. Njooni mkomboe, Tanga, Pwani na Mtwara.
 
M4C sijui kwa nini mnaziogopa mikoa ya pwani. Tanga kumelala mno, bado wanaimba CCM hoyee... Siye kama mzee mzima wa Mondouli ahamii CDM. Basi sisi tunakuja. Njooni mkomboe, Tanga, Pwani na Mtwara.

mbona lushoto tayari au unataka wilaya gani...
 
tulia kijana hata roma haikujengwa kwa siku moja.
Please we need to move with speed and efficiency CDM for Tanga faster!!!!! Si mnakumbuka Tanga ilikuwa ngome ya NCCR enzi za mtu mmoja alikuwa anaitwa Kimaro, CDM move to Tanga hakuna visingizio!!!!

Tanga Hakuingiliki, haswa na CDM, wao wanakiona hiki ni chama cha wachaga, kwani huoni ule mkoa, una utajiri wa ajbu, lakini hakuna maendeleo hata kidogo. Ndugu zetu Wadigo na wabondei wamelala sana yao ni baraza na porojo tuu,
 
Sio kweli bana! Tatizo ni kuwa CDM iliiachia CUF mkoa huu, ingawa nayo ilijitahidi na kupata karibia nusu ya viti vya Halmashauri ya jiji, lakini kwa sasa Cuf imeponzwa na ndoa yake na CCM, pia kusambaratishwa kwake na Hamad Rashid, sasa ishakuwa ni mdebwedo, sasa kilichobaki hata CDM ikibofya kiulaini tu, kutakuwa na mabadiliko makubwa sana.
 
Back
Top Bottom