M/kiti halmashauri Tarime Mjini (CHADEMA) afumaniwa, apigwa kalazwa hospitali ya wilaya

Dec 10, 2017
57
143
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Mjini, Hamisi Nyanswi (CHADEMA), usiku wa kuamkia jana majira ya saa 10 usiku alifumaniwa na kupata kipigo kikali, hali yake sio nzuri na amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Tarime.

Taarifa zaidi zinasema kuwa, Hamisi alikuwa amelewa na alimchukua demu wa mtu, aitwaye, Bhoke Nyakorema, baada ya kula naye bata walianza safari ya kuelekea MK Hotel kwa ajili ya kumalizia usiku. Walipofika kwenye kona ya Maneno garage, kuna kijana alimsimamisha, kwa kujiamini huku akiwa na bastola kiunoni alisimamisha gari na kutoka nje, ndipo alipokutana na kijana huyo na akamuuliza kulikoni kila siku kulewa na kujiachia na demu wake, Hamisi akajaribu kuifikia bastola kiunoni lakini kwa kumuwahi na kwa kuwa Hamisi alikuwa amelewa basi yule kijana aliweza mpa kipigo kikali na kumuangusha mtaroni kisha akatokomea na demu wake.

CHADEMA Tarime wamejaribu kuhusisha kisa hicho na watu wasiojulikana ila wameona aibu kwani tabia yake ya ulevi na kutembea na wake/mademu za watu inajulikana pale Tarime mjini, hivyo wamekausha na wanamtibu kimyakimya.

Tunatoa pole kwa Mh. Hamisi Nyanswi na kumshauri apunguze ulevi na uchepukaji, ajitambue kuwa yeye sasa ni kiongozi mkubwa hivyo ajiheshimu na kuchukua tahadhari ili asiaibishe chama, halmashauri na familia yake. (pichani chini ni Mh. Hamisi Nyanswi)
HAMISI.JPG
HAMISI.JPG
HAMISI.JPG
 
Jamani MUSIBA alishataadharisha kuhusu wake za watu ....hasa hasa wa "MUSOMA..."
 
Demu tu anavyouma, je mke?
Acha tabia hiyo, inahatarisha maisha yako.
 
Get rich or die on trying..! The guy tried to do what's best for men. I SUPPORT HIM
 
sishangazwi na sitahangazwa kuona vitu hivi vikitokea kwa wapinzan kwan ndio ilani yako ya chama inavyowaelekeza.reja mbowe na wema pia zito na kivuruge wa tandale.
 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Mjini, Hamisi Nyanswi (CHADEMA), usiku wa kuamkia jana majira ya saa 10 usiku alifumaniwa na kupata kipigo kikali, hali yake sio nzuri na amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Tarime.

Taarifa zaidi zinasema kuwa, Hamisi alikuwa amelewa na alimchukua demu wa mtu, aitwaye, Bhoke Nyakorema, baada ya kula naye bata walianza safari ya kuelekea MK Hotel kwa ajili ya kumalizia usiku. Walipofika kwenye kona ya Maneno garage, kuna kijana alimsimamisha, kwa kujiamini huku akiwa na bastola kiunoni alisimamisha gari na kutoka nje, ndipo alipokutana na kijana huyo na akamuuliza kulikoni kila siku kulewa na kujiachia na demu wake, Hamisi akajaribu kuifikia bastola kiunoni lakini kwa kumuwahi na kwa kuwa Hamisi alikuwa amelewa basi yule kijana aliweza mpa kipigo kikali na kumuangusha mtaroni kisha akatokomea na demu wake.

CHADEMA Tarime wamejaribu kuhusisha kisa hicho na watu wasiojulikana ila wameona aibu kwani tabia yake ya ulevi na kutembea na wake/mademu za watu inajulikana pale Tarime mjini, hivyo wamekausha na wanamtibu kimyakimya.

Tunatoa pole kwa Mh. Hamisi Nyanswi na kumshauri apunguze ulevi na uchepukaji, ajitambue kuwa yeye sasa ni kiongozi mkubwa hivyo ajiheshimu na kuchukua tahadhari ili asiaibishe chama, halmashauri na familia yake.
Ukichunguza sana utakuta hii habari Dunia nzima unayo wewe tu
 
Sasa kama sio nke wa ntu anafumaniwaje? Demu anaweza kuchukuliwa na mwanaume yeyote lakini siyo nke.
 
Back
Top Bottom