M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

bupepe

Senior Member
Jun 22, 2015
114
71
Heri Hoza kapata ajali akitika Kilosa kwenda Dar. Habari hizi zimezibitishwa na ndugu yake wa karibu. Inasemekana yupo Tumbi.

hozza.png
 
Kama ni kweli bas huu mwaka mgumu sana japo ni mipango ya Mungu.
 
Pole zake bt can't wait Lumumbas comment on this..maana hio ya Mtikila tu dah..jamaa utadhani thei dont have brain hizo comment zao
 
duuu nashindwa niseme nini, ndani ya mwezi mmoja ajali zinawaandama viongozi wa kisiasa, jamani chondechonde kile chama kilichozoea kutoa makafara
 
Back
Top Bottom