Lusinde siasa ni kazi ngumu sio kupewa kipazasauti na kupayuka tuu!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Ninamshauri Bw. Lusinde kwenda shule hata kidogo tuu kwa kuwa hekima ya kawaida Mungu hakumjalia! Siasa siyo kupayuka tuu jambo lolote provided umepewa kipaza sauti, hebu katafute hekima ya kitabuni itakusaidia kusoma mazingira.

Nawasilisha
 
Sijawahi kusikia lusinde akiongea kitu cha maana tangu nimfaham km mbunge.anasema arumeru wamchague sioi eti kwa kufanya hivyo watakuwa wamemfuta machozi kwa kufiwa na babae!
 
Back
Top Bottom