Uchaguzi 2020 Lushoto hajulikani nani atashinda 2020

Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.

Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.

Msema kweli mpenzi wa MUNGU
Mgombea wa ccm ndiyo yule aliyezomewa kipindi fulani na wananchi ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Watu wa Muheza ni wakati sahihi kufanya maamuzi sahihi kumchagua Y Komba. Muheza Ina matatizo makubwa ya maji kwa kipindi kirefu na wabunge wote kutoka CCM wameshindwa kulipatia ufumbuzi.
Halafu kuna mjinga anapiga mitaani anatuambia tukichagua wapinzani hatutapata miradi ya maji? Mbona Muheza pamoja na kuyachagua maccm hawajamaliza shida ya maji? Tusitishane mwamba!
 
Msimu wa kilimo umewadia

Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.

Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.

Msema kweli mpenzi wa MUNGU
Na hapo Rais Lisu hajaja kupigilia msumari wa mwisho
 
Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.

Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.

Msema kweli mpenzi wa MUNGU
CCM inang'olewa pande zote nchi hii
 
Kelele za chura hazimzidi tembo kunywa maji
 
Umeona isiwe taabu. Ukaona ujipromote mwenyewe.
 
Back
Top Bottom