roselyne1 JF-Expert Member Feb 18, 2010 1,365 93 May 20, 2010 #4 basi boflo mie nimetamani tayari.....ainkiller:
Maria Roza JF-Expert Member Apr 1, 2009 6,797 1,567 May 20, 2010 #5 Duh yam yam! ila kushindilia msosi hivi halafu unalala sio nzuri kwa afya!
bht JF-Expert Member May 14, 2009 10,336 1,862 May 20, 2010 #6 Maria Roza said: Duh yam yam! ila kushindilia msosi hivi halafu unalala sio nzuri kwa afya! Click to expand... kwani nini ulale baada ya 'lunch' ya kwenye shughuli we maria?
Maria Roza said: Duh yam yam! ila kushindilia msosi hivi halafu unalala sio nzuri kwa afya! Click to expand... kwani nini ulale baada ya 'lunch' ya kwenye shughuli we maria?
Maria Roza JF-Expert Member Apr 1, 2009 6,797 1,567 May 20, 2010 #7 bht said: kwani nini ulale baada ya 'lunch' ya kwenye shughuli we maria? Click to expand... Huu mwaliko ulikuwa dinner mamii!
bht said: kwani nini ulale baada ya 'lunch' ya kwenye shughuli we maria? Click to expand... Huu mwaliko ulikuwa dinner mamii!
bht JF-Expert Member May 14, 2009 10,336 1,862 May 20, 2010 #8 Maria Roza said: Huu mwaliko ulikuwa dinner mamii! Click to expand... I know but topic yenyewe inasema lunch, au mie sioni???
Maria Roza said: Huu mwaliko ulikuwa dinner mamii! Click to expand... I know but topic yenyewe inasema lunch, au mie sioni???
Maria Roza JF-Expert Member Apr 1, 2009 6,797 1,567 May 20, 2010 #9 bht said: I know but topic yenyewe inasema lunch, au mie sioni??? Click to expand... haha hha nilisahau kunawa uso lol!:drum:
bht said: I know but topic yenyewe inasema lunch, au mie sioni??? Click to expand... haha hha nilisahau kunawa uso lol!:drum:
Kituko JF-Expert Member Jan 12, 2009 9,555 9,330 May 20, 2010 #10 wewe boflo ni yupi katika hiyo picha?
kui JF-Expert Member Mar 2, 2009 6,467 6,494 May 21, 2010 #11 That's brunch-dinner! (vitumbua, pilau vyatamanisha)
Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,445 May 21, 2010 #14 Namwona star wa NBA na Mama yake hapo kwenye picha.
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 May 21, 2010 #15 Vitumbua na pilau basi??? haviendi