Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

Kaogopa kuzaa kwa njia ya kawaida?
Kuna mambo mengi hupelekea madaktari waamue mwanamke azae kwa kisu...

Kwa kifupi tu maamuzi hayo huweza kuwa ni ya muda mrefu au mfupi kulingana na afya ya mama na mtoto aliye tumboni...

Kuna wakati mwenendo wa ujauzito hubadilika zile dakika za mwisho na maamuzi huwa ni kumtoa mtoto kwa kisu kuepuka madhara kwa mama na mtoto...
 
Kuna mambo mengi hupelekea madaktari waamue mwanamke azae kwa kisu...

Kwa kifupi tu maanuzi hayo huweza kuwa ni ya muda mrefu au mfupi kulingana na afya ya mama na mtoto aliye tumboni...

Kuna wakati mwenendo wa ujauzito hubadilika zile dakika za mwisho na maamuzi huwa ni kumtoa mtoto kwa kisu kuepuka madhara kwa mama na mtoto...

Pia kama mama ni HIV positive maranyingi hutumia njia ya operation kama njia salama kwa mtoto
 
Binafsi nimefika mpaka apollo health city. Sijajifungua kariakoo..ndio maana nikakuuliza bugando na kcmc wanazizidi muhimbili ama agakhan dar kwa lipi? Hili swali bado hujanijibu. Unahamisha mada.. badala ya kujibu swali kwanza
Kcmc ndo the best in Tanzania kwa Sasa hiyo aga Khan inaizidi kwa kipi freshman
 
Aga khan ndio excutive hospital hapa Tanzania.. mpinzani wake ni muhimbili tu. Sababu pia wana vip service ambayo ni expensive sana.

Aga khan huwez ifananisha na hospital yoyote hapa Tanzania.. ukitoa muhimbili
Aga Khan huo u VIP wake sijauona wala! I’ve went there thrice nilikuwa na mgonjwa wa kumtolea damu! Kupewa tu majibu ya blood group ilikuwa shughuli mambo hayaeleweki ma staff wanademka demka tu mpaka nikaaga maana nilikuwa na shughuli nyingi za kufanya.

Mgonjwa kalazwa VIP kule amefanyiwa upasuaji mara 3 kwa issue moja! Mara ya kwanza sijui walikosea nini wakamuita tena mara ya pili mara kidonda kikawa kinajaa usaha wakmuita mara ya 3! Bill imekuja 25 million mtu kaka week tu na upasuaji wa hovyo wa kurudia rudia.

Japo nilizaliwa hapo hapo ila mzee anasema Aga Khan during the 90’s ndio ilikuwa hospitali ila sio sahizi ni michosho sana yani! Hamna ishu pale kabisa watu wana kasumba tu ya kuvimbiana kwa sababu bill zake ni za bei aghali kwahio ni ule ufahari tu kwamba mtoto amelazwa Aga khan au mke wangu anajifungulia Aga Khan! Kwa huduma Muhimbili has far better services kwa VIP.
 
Aga Khan huo u VIP wake sijauona wala! I’ve went there thrice nilikuwa na mgonjwa wa kumtolea damu! Kupewa tu majibu ya blood group ilikuwa shughuli mambo hayaeleweki ma staff wanademka demka tu mpaka nikaaga maana nilikuwa na shughuli nyingi za kufanya.
Freshman kwanzia ameaajiriwa hpo kwa msaada wa wahindi kwa kaya masikini Basi anaona hpo ndo kila kitu
 
Aliyoyapitia Lulu kama ungekua wewe ungeshajinyonga, acheni chuki za kijinga nyie wavulana wa jf yaan huu uzi ukiusoma wavulana ndio mmecomment kwa chuki sana,

Tafuteni hela acheni kusambaza chuki kwa mtoto wa mwanaume....
Narudia, Lulu alikua ni kischana kadogo kadogo kalikoanza Umalaya na uhuni kama ambavyo Paula wa Kajala alivyo sasa.

Sasa nadhan amekua kidogo akili..

ACHENI KUTETEA UPUMBAVU WA MTU UNAOTAKANA NA UJINGA WAKE MWENYEWE .

wewe leo hiii ukiamua kua kamalaya, utakua right??? Baadae uache ,utulie

Hivi nawewe utaanza kusema Nimepitia mapito mengi jaman ,niachen tu???

Kama kufungwa, ilikua nilazima afungweee hata miaka mitano ... Wed unadhana Ma Kanumba, kuondokewa namtu alokua anamsaidia mpaka leo anajihis vipi???
( sawa hatujui kilichotokea, lkn yeye km mtuhumiwa kwanza, nilazima awajibike ktk kupooza hisia zauchungu za mama ndugu aa Jama)

Yalobaki yoteeee, yalitokana na Uoumbavu wake,.

KUNA BINADAM NI WAPUUZI SANA, WANAPOFANYA UJINGA, UNAOWAPELEKEA WAPITIE KIPINDI CHA MATESO, HUANZA KUTUPIA LAWAMA WENGINE .
 
Kwa hii Essay ni wazi una Sonona,

Afya ya akili yatibika yakhee, wahi kwa wataalam.
 
Utakuja kumkataa uyo bakiza maneno
sija finalize! kwasababu najua binadamu hubadilika

ila ktk hili sakata lake kaonyesha kwamba ni matured

huko mbeleni akija anza vibweka vyake,ntamkandia tu vilevile

ila penye pongezi panasemwa na penye kukaripiwa mtu anakaripiwa "ajirekebshe akipenda"
 
Narudia, Lulu alikua ni kischana kadogo kadogo kalikoanza Umalaya na uhuni kama ambavyo Paula wa Kajala alivyo sasa.

Sasa nadhan amekua kidogo akili..

ACHENI KUTETEA UPUMBAVU WA MTU UNAOTAKANA NA UJINGA WAKE MWENYEWE .

wewe leo hiii ukiamua kua kamalaya, utakua right??? Baadae uache ,utulie

Hivi nawewe utaanza kusema Nimepitia mapito mengi jaman ,niachen tu???

Kama kufungwa, ilikua nilazima afungweee hata miaka mitano ... Wed unadhana Ma Kanumba, kuondokewa namtu alokua anamsaidia mpaka leo anajihis vipi???
( sawa hatujui kilichotokea, lkn yeye km mtuhumiwa kwanza, nilazima awajibike ktk kupooza hisia zauchungu za mama ndugu aa Jama)

Yalobaki yoteeee, yalitokana na Uoumbavu wake,.

KUNA BINADAM NI WAPUUZI SANA, WANAPOFANYA UJINGA, UNAOWAPELEKEA WAPITIE KIPINDI CHA MATESO, HUANZA KUTUPIA LAWAMA WENGINE .
Lulu alivuna alichopanda kwa mujibu wa sheria, lakini upuuzi wa eti mama Kanumba sijui anapitia hali gani it's a bloody bull crap.
Kanumba alikuwa akibaka, kufanya mapenzi na msichana(mtoto) wa umri chini ya miaka 18 ni kubaka(rape/child molestation) kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Hivyo huyo mama Kanumba acha aendelee kufaidi machungu ambayo chanzo cha msingi ni ubaradhuli(child molestation) uliokuwa ukifanywa na mwanae kwa Lulu.
Kila mmoja avune stahiki yake.
 
hiyo bugando na kcmc inazizidi aga khan dar ama muhimbili dar kwa lipi?

Mkuu husibishane na watu waliopata 200mbs za offer kutoka Voda/Tigo wakaingia JF wakimaliza wanaweka data off

It is True hakuna zaidi za Aghakhan kwa bei in Tanzania hiyo Saifee ni hospital za mtaani Mpya ndio kwanza inajitangaza utailinganisha na Aghakhan yenye muda mrefu imekuepo kwa vizazi Na vizazi sisi wengine wazazi wetu walizaliwa huko na sisi tukazaliwa Aghakhan na tuKazaa huko huko pia
 
Hiyo ni bei ya private room, achilia mbali matibabu binamu, sio mchezo... hospital yenyew c mchezo, sio kina kajamba nan wakizalia aga khan wanajiona ma don
Agakhan bei ya C Section inaenda hadi 6Mil

Nenda reception kaulize utapewa bronchures pale
 
Back
Top Bottom