Luiza Mbutu amsema aliyemfundisha Aisha kuvuta unga

Half London

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
261
104
Msanii wa bendi ya Twanga Pepeta,Luiza Mbutu amesema kilichomfanya Aisha kutumia madawa ya kulevya ni uvutaji sigara uliompelekea kuvuta bangi aliyofundishwa na Banza.

Banza alikuwa anamchanganyia bangi na unga hadi ikafikia hatua ya kuwa addicted na na unga. Kabla ya Aisha kuaga dunia alikuwa ameachana na madawa ya kulevya,na kwenda Dubai kwa kudanganywa ni maswala ya bendi.

Kumbe ni kwenda kuwa mfanyakazi wa ndani. Ndipo baada ya kukataa wakamnyang'anya pasport yake,ndipo akaenda kushtaki ktk ubalozi wa huko na kurudi Tanzania,akakutana na mashoga zake ambao alikuwa anatumia nao akawa anaendelea kutumia huku akiwa anatumia dawa za kuacha kutumia unga hadi kufikwa na mauti.

Source: Radio Tumaini
 
Kwa kuwa marehemu hatunae hakuna wa kukanusha hili jalada kwa nia njema lifungwe
 
Hata Ray C alifundishwa kuvuta Bangi na L.Eyez badae akaanza kutumia madawa..so wapo wengi tu..
 
Mh! Wala hakuna kidding bali atakuwa amevurugwa kweli. Mpole sana, si unajua mwisho wa mwezi ndo huu,labda anahitaji shopping halafu mchizi anazingua.

Shake Money kanikataza kucheka nijikaze kisabuni etii lols wee akija usikimbie tu hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom