Lugha ya kiingereza yamponza Halima Mdee, Spika Tulia amtafsiria mkataba wa bandari

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Tatizo la lugha ya kiingereza ni kubwa sana kwa watanzania, cha kushangaza na kuaibisha Halima Mdee ni mwanasheria lakini akiambiwa asome kilichoandikwa kwenye mkataba anasema ahaa hamna palipoandikwa lakini mimi ila mimi naona mbele kuwa mkataba utaleta tatizo

Badala ya kuonyesha kifungu gani kina makosa yeye amejaa speculation na hisia tu

Aibu iliyomkuta Halima Mdee bungeni sio ya nchi hii,Aligeuzwa na spika kama mwanasesere kila akiambiwa soma kilichoandikwa acha hisia anaishia kusema mimi naona mbali, mbali wapi?

Lugha ya kiingereza, Lugha ya kiingereza. Ninakuita tena na tena English ....english umekuwa tatizo mpaka kwa waliosoma sheria.

Mkataba umepita na umeoneshwa live kila mtu ameona mbivu na mbichi za watu walioshindwa na wapotoshaji kama Mdee kushindwa kuonyeshwa wapi bandari inauzwa? Au wapi hatuwezi kuvunja mkataba?

Lugha ya kiingereza ndio maana kuna wakati marehemu JPM aliomba hukumu zitolewe kwa kiswahili
 
Tatizo la lugha ya kiingereza ni kubwa sana kwa watanzania,Cha kushangaza na kuaibisha Halima Mdee ni mwanasheria lakini akiambiwa asome kilichoandikwa kwenye mkataba anasema ahaa hamna palipoandikwa lakini mimi ila mimi naona mbele kuwa mkataba utaleta tatizo

Badala ya kuonyesha kifungi gani kina makosa yeye amejaa speculation na hisia tu

Aibu iliyomkuta Halima Mdee bungeni sio ya nchi hii,Aligeuzwa na spika kama mwanasesere kila akiambiwa soma kilichoabdikwa acha hisia anaishia kusema mimi naona mbali ,mbali wapi?

Lugha ya kiingereza ,Lugha ya kiingereza.Ninakuita tena na tena English ....english umekuwa tatizo mpaka kwa waliosoma sheria

Mkataba umepita na umeonyweshwa live kila mtu ameona mbivu na mbichi za watu walioshindwa na wapotoshaji kama Mdee kushindwa kuonyeshwa wapi bandari inauzwa? Au wapi hatuwezi kuvunja mkataba?

Tatizo spika alikuwa anawaingilia wanaopinga huo mkataba kwa kuuliza maswali uchwara.
 
Tatizo spika alikuwa anawaingilia wanaopinga huo mkataba kwa kuuliza maswali uchwara
 
Halima alipambana kwa nguvu zake ngaa hatuwapendi.

Huyu mama naomba tu Mungu atende miugiza huko kwa Mr2 sugu.
Tuongee ukweli mjadala ulikuwa live TBC,Halima Mdee kashindwa kutetea

Na kila mbunge pale alikuwa na booklet ya ule mkataba mezani

Halima Mdee aliushika mkataba mkono wake wa kushoto anaambiwa na Spika onyesha kifungu chenye mapungufu ili tuvijadili hakuweza kuonyesha bali alikiri mwenyewe anahisi mbeleni itakuwa shida,Shida gani anaulizwa na itatokana na misingi ipi ya mkataba unaojadiliwa,Halima Mdee kashindwa
 
Spike alijibu na alisema kuhusu nchi yetu kutokujitoa nikweli ila watu wanapaswa kuelewa kuwa hata waarabu nawao wamefungwa kujitoa yani wote hawapaswi kujitoa alimaliza spika kwakutoa ufafanuzi,sasa swali mwenye mali na mgeni ninani anaasilika na hiyo kifungu chakutojitoa?
 
Kama una pesa mwenyewe si uwekeze?

Yaani Mimi nikulipie ada ya shule,Nikununulie vitabu na kukulisha halafu unataka kunipelekesha ,Wapi uliona hiyo?

Pesa kama nchi hatuna ,Mtu anataka kutusaidia wewe unaanza kelele

Kaa na bandari yako
 
Tuongee ukweli mjadala ulikuwa live TBC,Halima Mdee kashindwa kutetea

Na kila mbunge pale alikuwa na booklet ya ule mkataba mezani

Halima Mdee aliushika mkataba mkono wake wa kushoto anaambiwa na Spika onyesha kifungu chenye mapungufu ili tuvijadili hakuweza kuonyesha bali alikiri mwenyewe anahisi mbeleni itakuwa shida,Shida gani anaulizwa na itatokana na misingi ipi ya mkataba unaojadiliwa,Halima Mdee kashindwa
Alitaja kifungu japo alikuwa anakatishwa katishwa sana na spika.

Walijipanga kuhakikisha bandari inauzwa
 
Back
Top Bottom