Lucy Thomas Mayenga namtabiria atafika mbali

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1312.jpg
First Name:Lucy
Middle Name:Thomas
Last Name:Mayenga
Member Type:Special Seat
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:P.O.Box 44, Bariadi
Office Phone:+255 713 260926
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:lmayenga@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth23 August 1977
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Mikocheni Primary SchoolPrimary Education19881991PRIMARY
Kisutu Girls Secondary SchoolO-Level Education19911995SECONDARY
Jitegemee Secondary SchoolA-Level Education19961998HIGH SCHOOL
Tanzania School of Journalism (TSJ)Diploma (Journalism)19982000DIPLOMA
Centre for Foreign Relations (CFR)Diploma (Foreign Affairs)20022004DIPLOMA
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat20052015
Private SectorEntrepreneur20012005
Business Time Company LtdJournalist19992000
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee (NEC)20082008
Chama Cha Mapinduzi, CCMSpecial seat (Youth Group)2005To Date
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember General Council (UVCCM) & (UWT)20042004
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Regional Youth Council (UVCCM)20032003
Chama Cha Mapinduzi, CCMBranch Chairman-Ward & Youth19981999
Chama Cha Mapinduzi, CCMYouth Commander (CCM)19881988
PUBLICATIONS
DescriptionDate
L. Mayenga: Writer on Different News Papers and Journals in Tanzania and Rwanda.2000 - 2003

Nae aende shule basi. Binti mdogo hivyo kuwa na diploma ni aibu.
Japo upastairs hamna kitu kiviike, sura inamsaidia zaidi. Kuna siku alikuwa anaponda michango ya wapinzani nikabaki namshangaa lipstick yake manake ilikuwa pumba zenye michanga.
 
Labda atafika mbali kwa kutoa rushwa ya XXXX;Kawa Mbunge wa viti maalum kwa miaka 10 sasa na hata 2015 likely atapigania kurudi Bungeni kwa njia hiyo hiyo isiyo ya kidemokrasia!

Namshauri arudi shule na sijaona trend yyt hapa kama"atafika mbali"otherwise kama mleta mada ana faida binafsi na dada huyu!

Mada kama hii inatujazia nafasi bure JF!
 
nae aende shule basi. Binti mdogo hivyo kuwa na diploma ni aibu.
Japo upastairs hamna kitu kiviike, sura inamsaidia zaidi. Kuna siku alikuwa anaponda michango ya wapinzani nikabaki namshangaa lipstick yake manake ilikuwa pumba zenye michanga.

huyu ni malaya tu hata yeye anajijua , nilisoma na primary na kupanda kwake baba mwanaasha anahusika
 
Hivi wewe mleta mada umeng'atwa na mbu usiku halafu ukaamua kukurupuka na kitu kama hicho kweli?! Kwanza nikuulize, Lucy mwenyewe ndiye umeleta uzi huu? Kama sio wewe nani umemtuma akuanike hivi? na swali la mwisho, Kufika kwako mbali ni kwa sababu ya elimu, uzuri wa sura, kuwa mbunge wa viti giza au kuna mtu unayemtegemea sana wa kukushika mkono kwani hili tumelizoea sana ndani ya hiki chama chetu.Tujuze.
 
Hivi wewe mleta mada umeng'atwa na mbu usiku halafu ukaamua kukurupuka na kitu kama hicho kweli?! Kwanza nikuulize, Lucy mwenyewe ndiye umeleta uzi huu? Kama sio wewe nani umemtuma akuanike hivi? na swali la mwisho, Kufika kwako mbali ni kwa sababu ya elimu, uzuri wa sura, kuwa mbunge wa viti giza au kuna mtu unayemtegemea sana wa kukushika mkono kwani hili tumelizoea sana ndani ya hiki chama chetu!.
Tujuze.
 
usenge usenge unajadiliwa
 
C.T.U huyo mhe. ni Shemeji yetu?

Kama ni Shemeji ngoja nikae kimya ila kama si Shemeji hiyo CV yake umeipitia vizuri?
Elimu ya Msingi alianza mwaka 1988 akiwa na miaka kama 10 na kumaliza mwaka 1991, inamaana elimu ya msingi kasoma kwa miaka 4 tu?

Elimu ya Sekondari (Kidato cha kwanza) kaanza akiwa Darasa la SABA, yaani mwaka 1991 ni kweli? Na kumaliza mwaka 1995, inamaana kasoma kwa miaka 5!

Unamtabiria afike mbali wakati hata CV yake anashindwa kuiandika!
 
Hana elimu ya kutosha sijui umeona anaenda shuleni au? Kama ni nchi yetu labda awe kama------ pale BOT
 
hamna haja ya kuendelea kusoma alichonacho kinatosha aendelee kubakia bungeni tuwe tunamuona kipindi cha bunge... mtoto wa ana macho mazuri..kweli JK hapo nakuaminia kama viti maalum unajua hasa kuwachagua..
 
Back
Top Bottom