LOWASSA Vs CCM: CCM Wakati Ni Sasa Wa Maamuzi Magumu ya Kusuka au Kunyoa!

Issue hapa siyo Lowassa vs CCM, ni Lowassa vs Kikwete.
1. Lowassa ametuambia kwamba hiyo Richmond inayotaka kutumiwa ili kumhukumu siyo yeye bali ni JK. Kwa hiyo kumhukumu yeye ni kumwonea.
2. Ikumbukwe kwamba JK na EL wameshatuambia kwamba ni marafiki. Huo urafiki ndio ulipelekea waachiane ugombea 2005. Lakini kwa makubaliano gani? Simply say: "Nenda wewe (JK) sasa hivi (2005), ukimaliza nakuja mimi (EL) 2015.
3. Tatizo linakuja kwamba JK ametaka kutumia skendo yake, ambayo iliyomfunya EL kujiuzulu U-PM ili kumlinda rafiki yake asiumbuke, JK ametaka kuitumia hiyo hiyo ili kumtwanga nayo rafiki yake na kumpiga pembeni. ndo maana kumekuwa na tetesi kwamba mkulu ameanza kupigia ndogo ndogo watu wengine kuelekea 2015.
4. Lowassa is using all the means he has to fight back.
Tutaendelea kuona mengi huko mbele tuendako.

Mkuu ninakubaliana na ww asilimia 100 kwani issue hapa ni JK Vs EL when set their presidency goals of 2005 and 2015, respectively, of which JK achieved his goal but poor EL is languishing to achieve his goal as well but JK and EL nyerere told them lowassa you are dirty and corrupt but JK u a still young and not confident to lead Mchonga was very right and thats why u went to the state house using dirty money from dirty people na ndio maana unashindwa kutoa maamuzi ya kiongozi yeyote aliye mchafu.

But people are not with JK n EL you are putting the CCM to be in blacklist or among the failure party in the World and making CDM to emerge stronger day after day. Watch out presidential race 2015 CDM has a majority backup.
 
God where a u save this people TZ sincerely they are in deep deep trouble where from top to middle are the worst corrupt scuffs and low cadres largely contributors of country's economy (revenue/expenditure) or in-short taxpayers money enjoyed by the said few dirty privileged 1 and clean people are being led by fierce crocodile/chameleon JK who was denied by David Mwakawago in 1997, Znz as unfit leader but how come CCM failed to refer those facts and bring to the NEC and CC to pick a clean leader? Now 2015 we are going to repeat the same mistake of picking EL another worst corrupt fellow to be our president of URT if so then the country will witness civil war. LAZIMA EL asahau kabisa kuwa most top leader of TZ aende kwenye ma biashara yake and not destabilize our peace and harmony the country has since Mwl Nyerere to irresponsible leader (to-date) JK.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ndugu yangu na mtanzania mwenzangu, Lowassa kakuibia nini?, unaweza kuleta ushaidi hapa jamvini?.
Maneno ya kusikia na wewe ukayachukua kama yalivyo bila kutafuta ukweli ni hatari sana. Wizi wa Lowassa ni nini jamani ebu tuwe wakweli.
Kama ishu ni kujilimbikia mali kwa Lowassa, nani asiye jilimbikizia mali ndani ya CCM na ndani ya Chadema?.

Mkuu kwa hiyo unataka kusema kwa sababu kujilimbikizia mali ni utaratibu rasmi kwa viongozi wa CCM na serikali yake basi huo ni ushahidi kwamba Lowassa si mwizi? Unauliza eti Lowassa kakuibia nini, vp unamaanisha nyumbani au? Unazungumzia kujilimbikizia mali kwa watu wa CHADEMA ambao hawamo ndani ya serikali r u serious?????????????? What a sham comparison??????? Mkuu Lowassa ni mwizi na ushahidi upo. Source ni mimi mwenyewe muda ukifika tutamwaga mambo hadharani!!!!!!! Lakini hii isikulazimishe wewe kuamini kwamba Lowassa ni mwizi keep believing the guy is innocent at least for now.
 
JK.... EL..... Nape ...Chiligati ........ Sterling of Richmond movie ..... CCM production ..... Featuring Mkapa...... Sumaye .... Anna makinda.... Co sterling ...,,mukama....Chenge......January Makamba...... Mzee Makamba... Presents to you .... A century movie never seen before on screen..... Never ending like prison break director of outstanding movie of All year Richmond Rostam Aziz present....!not to compare .... To be released Soon........ MAGAMBA!!!!!!! Wach out this movie... .....

Mkuu ahsante sana tunaingoja kwa hamu filamu hiyo!
 
Mkuu kwa hiyo unataka kusema kwa sababu kujilimbikizia mali ni utaratibu rasmi kwa viongozi wa CCM na serikali yake basi huo ni ushahidi kwamba Lowassa si mwizi? Unauliza eti Lowassa kakuibia nini, vp unamaanisha nyumbani au? Unazungumzia kujilimbikizia mali kwa watu wa CHADEMA ambao hawamo ndani ya serikali r u serious?????????????? What a sham comparison??????? Mkuu Lowassa ni mwizi na ushahidi upo. Source ni mimi mwenyewe muda ukifika tutamwaga mambo hadharani!!!!!!! Lakini hii isikulazimishe wewe kuamini kwamba Lowassa ni mwizi keep believing the guy is innocent at least for now.

Mwenye utimamu kichwani hawezi kuamini hayo maneno yako ambayo nayafananisha na matapishi.

Wewe kama una ushahidi peleka Mahakamani ili sheria husika zikafuatwe na Muheshimiwa Lowassa afungwe...

Sio unakuja kutuletea porojo tu hapa, eti ooh muda ukifika utatueleza.

peleka ujinga wako hukohuko kilabuni wanakokusiliza.
 
Huyo anayepiga jaramba nje ametapeli nini?
Weka ushahidi mezani na si chuki...

Tuanze na mkataba wa kifisadi wa kuendeleza jengo la Umoja wa Vijana UVCCM, lililopo Morogoro road, ambao
Nape aliuonesha kwa waandishi wa habari ukiwa na saini ya Lowassa. Huyo mwekezaji alitaka percentage 40% ya jengo zima
liwe lake na aweze kurithishana vizazi na vizazi vyake, hata kama investment capital yake ingeweza kurudi ndani ya miaka 20.

Halafu mtu mzima na akili ya Lowasa akaona sawa na kutia saini. Huo transient upofu alioupata wakati anasign huo mkataba
kama mdhamini wa UVCCM jiulize ulitokana na nini?... Mwenye akili hana haja ya kujiuliza mara mbili hapa, jibu lipo wazi.

Kwa taarifa hakuna taasisi yeyote ya chama iliyowahi kuingia mkataba mbovu kama ule. Na hivi sasa umefumuliwa upya na
vipengele vya kifisadi kuondolewa. Huo ni mfano mmoja tu wewe shabiki maandazi wa Lowassa...

Mengine pekua humu JUKWAA LA SIASA kuna thread kibao zinamuongelea huyo bosi wako asiyekujua hata jina...
 
Shida moja kubwa ya ccm ni kushindwa kutofautisha issue za kitaifa vs zile za chama,halafu eti wakiwajibika kwa chama,basi ni equal to accountablity to the nation?

Hilo si kweli ndo maana chama kina katiba yake and so as the nation.
 
- Well, sasa umefika wakati wa Serikali ya CCM kuamua moja either kumuachia Lowassa Serikali, au kuridhisha Katiba na kuwa Serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. I mean what has gone wrong na hili taifa? Kila kukicha it is Lowassa and Lowassa, and Lowassa and Lowassa! What is wrong na CCM? I mean how much money does this man has ambazo toka tumeanza kumsikia akizitumia ku-manipulate our politics haziiishi tu na wala hazithibitiwi na Serikali on uhalali wake?

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS, maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!

hapo kwenye nyekundu...are you referring to serikali hii hii ambayo JK ndiye raisi? you cant be serious...
 
Lowassa hata awe na hela na wafuasi kiasi gani hawezi kushindana na nguvu ya Rais wa jamhuri in other words anatumia woga,uswahili, kusita sita, kutokua na uhakika kwa Jk kuyumbisha ccm, serikali na Taifa kwa ujumla..........we fikiria instrument alizonazo Rais kudili na huyu jamaa utachoka mwenyewe hata kama ana siri zako bado wewe ni Rais wa taifa tena term ya mwisho kwa nini msimpoteze huyu jamaa na washirika wake...hamna siri kubwa katika urais na kama ipo huyu analiyekua nayo inabidi apotezwe kwa sababu ofisi ya rais na rais mwenyewe hapa Africa ni suala la hali nzima ya usalama na ustawi wa kitaifa

nchi zingine na marais wengine huyu Lowassa angekua ni historia tu
 
Mkuu,

Ni kweli anazo hizo instruments,lakini pia hana moral authority kwasababu na yeye ni directy implicated,hence illegitimacy to lead.

Ukiwa na rais asiyeweza kuisimamia katiba aliyoapa kuilinda,then legitimacy yake ya kuendelea kuongoza inatoka wapi?

Kuna thread niliyoianzisha ambayo ina deal na issue hii kitaifa zaidi,hii ofcourse ni kichama,however chama hakisafishi mtu...Ni mahakama huru!
 
-

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS,
maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!
Mkuu,
Tumeshuhudia mauaji kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga. Hawa mafia wakiachiwa waendelee kama vile serikali haipo (ambayo hata hivyo inatia shaka kama ipo), uachaguzi wa 2015 unaweza kuliingiza taifa kwenye machafuko makubwa sana maana yaelekea urais unatafutwa kwa gharama yoyote.
 
Mkuu,

Ni kweli anazo hizo instruments,lakini pia hana moral authority kwasababu na yeye ni directy implicated,hence illegitimacy to lead.

Ukiwa na rais asiyeweza kuisimamia katiba aliyoapa kuilinda,then legitimacy yake ya kuendelea kuongoza inatoka wapi?

Kuna thread niliyoianzisha ambayo ina deal na issue hii kitaifa zaidi,hii ofcourse ni kichama,however chama hakisafishi mtu...Ni mahakama huru!

Nakupata Mkuu ila Lazima tuangalie hali halisi na siyo nadharia za kisiasa/kiuongozi tunaweza kusema JK legitimacy yake iko hatarini kama alidanganya, lakini alidanganya kwenye mkutano wa hadhara na siyo mahakamani wala katika tume iliyopewa mamlaka ya kikatiba na kisheria kushughulikia Richmond...Jk kama angechunguzwa na tume ya mwakyembe na akadanganya kwa sababu tume iko chini ya katiba na imepewa mamlaka na bunge basi ingebidi kuwajibika kwa kudanganya katika kiapo cha kutetea na kuilinda katiba....sijui sana mambo ya kisheria na kikatiba lakini mpaka hapa bado ana legitimacy kikatiba...

Nafikiri cha maana ni kwamba Mwakyembe ilibidi amuhoji Lowassa na siyo watu wa chini yake na Lowassa angesema haya ya juzi basi tume ingemfuata Jk na kuhojiwa chini ya kiapo kwamba chochote anachokisema ni ukweli hapa tusingekua na huu mparanganyo...sasa kila kitu kilifanywa kisiasa kuanzia tume, lowassa kujiuzulu, na Jk kusitiriwa
 
Mwenye ushahidi kuhusu ufisadi wa EL aupeleke CC na mahakamani

upeleke huo ushahidi,hujipendi... Kwa sasa anatazamwa kama Rais mtarajiwa. Na yule rafiki yake ambaye hakukutana naye barabarani,kuna unproven tetesi kuwa alimshauri akubali ajiuzulu,na kisha yataandaliwa mazingira ya kumsafisha.Tetesi nyingine ni kuwa rafiki yake huyo atahakikisha anamsafishia njia ya Magogoni hapo 2015,Oktoba.
 
manywele ni choli sana wampe nafasi ya kugombea uraisi tuipige puuu ccm mazima, ppls.... power....

Usemi wa nani atamfunga paka kengele kati ya mapanya umedhihirika ndani ya CCM dhidi ya Lowasa. Kwa mtaji huo jamaa ndiye mgombea wa Urais kupitia SISIEM 2015. If you have power why not use it?
 
Nikisikia habari hii huwa inanikumbusha sana mtoto wangu wa umri wa miaka minane. Akipigapiga kelele, mara kalalamikia hili mara kalalamikia lile, mara nyingi huwa namuita tunakaa chini na kumuuliza. "Kwani mwanangu nini hasa unachokitaka?" Na hapo ndipo anaposema nini anakitaka, kama baba mimi nataka uniruhusu nikacheze na rafiki yangu wa jirani hapo mpaka saa kumi na mbili badala ya saa kumi na moja ya kila siku. Then baada ya hapo tunaanza kunegotiate muda ambao utakubalika na pande zote mbili, kila mmoja anatoa sababu zake na kuzijadili.
Sasa ningeomba utaratibu kama huo utumiwe na CCM. Imuite bwana Lowassa na kumuuliza ni nini hasa anachokitaka? Maana naona hili la sasa, ni kuwa labda mkuu anataka kusikilizwa tu.
 
Nakupata Mkuu ila Lazima tuangalie hali halisi na siyo nadharia za kisiasa/kiuongozi tunaweza kusema JK legitimacy yake iko hatarini kama alidanganya, lakini alidanganya kwenye mkutano wa hadhara na siyo mahakamani wala katika tume iliyopewa mamlaka ya kikatiba na kisheria kushughulikia Richmond...Jk kama angechunguzwa na tume ya mwakyembe na akadanganya kwa sababu tume iko chini ya katiba na imepewa mamlaka na bunge basi ingebidi kuwajibika kwa kudanganya katika kiapo cha kutetea na kuilinda katiba....sijui sana mambo ya kisheria na kikatiba lakini mpaka hapa bado ana legitimacy kikatiba...

Nafikiri cha maana ni kwamba Mwakyembe ilibidi amuhoji Lowassa na siyo watu wa chini yake na Lowassa angesema haya ya juzi basi tume ingemfuata Jk na kuhojiwa chini ya kiapo kwamba chochote anachokisema ni ukweli hapa tusingekua na huu mparanganyo...sasa kila kitu kilifanywa kisiasa kuanzia tume, lowassa kujiuzulu, na Jk kusitiriwa
Lakini pia tumegunduwa kuwa sababu iliytumika yeye kujiuzulu kumbe haikuwa halali kwa maana ya kuwa haikuwa ya kweli.

EL hautaki uwaziri mkuu tena,yeye ni urais,ila hilo ni la 2015,we are talking about now and before then...
 
..Sophia Simba alishawaeleza CCM kwamba chama kizima kimeathiriwa na ufisadi.

..jamani haya mambo hayakuanza na kuishia na mkataba wa Richmond.

..mambo haya yameanza tangu "vijana" wawili, JK na EL walipoutamani Uraisi wa Tanzania.

..wazee waadilifu kama Paul Sozigwa na Philip Mangula walishaonya kuhusu tabia na mwenendo wa JK na EL.

..huwezi kumhukumu Lowassa akamsitiri JK, na hilo ndilo tatizo la CCM.

..kama watu wanataka kukisafisha chama basi wote wawili, JK na EL, watimuliwe.
 
Malecela,

Lowasa is immensely rich, and there's nobody or no authority can dare ask where did he get the capital which is growing big every passing day. Si ajabu hata kodi makampuni yake hayalipi.

Wabongo tuna ujinga wa kumsifia mtu anyekuwa tajiri ghafla bila kuhoji uhalali wa source ya utajiri huo. Wako wengi mno na wote unawakuta in green and yellw shirts / tshirts.

Mule mule mkuu!!! KInachoniuma siku hizi hata wasomi wameangukia kwenye huu mtego!!
 
Back
Top Bottom