Lowassa ndani ya Star Tv Jumapili

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Nimedokezwa kwamba mjadala j2 ijayo kuhusu mustkabali wa CCM na sera ya kuivua gamba utakaorushwa na Star TV utahudhuriwa na viongozi na magwiji wa siasa nchini akiwemo EL.jee EL ataweza kueleza umma au ndio ufisadi utammaliza tutapopata kupiga simu?jee watz tutegemee nini?
 
waruhusu mjadala wa wazi waone mambo yanavyoenda!najua itakuwa ni debate with the full of conditions!
 
Naweza kutabili bila kukosea kuwa sehemu kubwa ya nchi watakosa umeme na matangazo yatakuwa yanakatika-katika mida hiyo
 
Nimedokezwa kwamba mjadala j2 ijayo kuhusu mustkabali wa CCM na sera ya kuivua gamba utakaorushwa na Star TV utahudhuriwa na viongozi na magwiji wa siasa nchini akiwemo EL.jee EL ataweza kueleza umma au ndio ufisadi utammaliza tutapopata kupiga simu?jee watz tutegemee nini?
Itakua saa ngapi Mkuu?
 
ni saa ngap, mwambie akudokeze na mda tuufuatilie.
 
Can he dare talk in public? Aende mwembe yanga ...
 
Can he dare talk in public? Aende mwembe yanga ...

weweeeee! mwembe yanga unapasikia au unapafahamu! pale ni mahali patakatifu bana hatuangalii anayeleta hoja pale ana pesa kiasi gani wala madaraka makubwa kiasi gani muulize mzee mkapa aibu aliyoipata pale alipokuja kutoa maagizo kuwa anataka akirudi safari amkute sisco mtiro ni mbunge wa temeke - wezi wa mali za umma hawana nafasi pale amini usiamini mimi nimezaliwa pale naishi pale kwa miaka 60 sasa.
 
JK, TISS & Co. tunaomba msimkatishe EL kama last time. Maana last time nakumbuka mlimkatisha kabla hajamalizia kusema aliyonayo m oyoni.
 
Hakuna jipya! Alipoongea na watz kupitia waandishi wa habali wilayani Monduli, alisema wazi kwamba hataki kuzungumzia swala la Richmond na muda wa kuzungumzia kugombea urais bado haujafika. Sasa utazungumzia kuvua gamba na Lowasa ukaacha kuzungumzia Richmond!?

Hao star tv watakuwa wamepewa mashari makali kuhusu maswali ya kuuliza na hata simu zitakuwa screened kabla hazijaenda hewani kama wakati ule wa JK. Ful usanii.

Utasikia mtu anasema "napiga simu kutoka kijiji cha mota, tarafa ya kibakwe, wilaya ya Mpwapwa, mkoani dodoma" kumbe ni katibu wake na yupo nyumba ya studio na maelezo/maswali ya kupangwa! Si ajabu kusikia kwamba wanampongeza sana kwa ujasiri!
 
Lowasa siyo fisadi,mwenyekiti wa baraza la mawaziri ndiye fisadi.
 
Eeh Mwenyeezi Mungu, Mwingi wa rehema, mjaalie afya na dhamira Edward Ngoyai Lowassa ahudhurie mjadala huu na apate fursa ya kulizungumzia suala la ufisadi na kujisafisah kwake NEC. Tunataka amalize hoja zake zoooote kabla watanzania hawajausikia ukweli utakaommaliza na kuchochea kiharusi kipya! Singo yake hii inaelekea kuchoshwa masikioni na hata wale wanaotaka fedha zake kwenye nyumba za ibada soon watamkimbia. Kamba aliyopewa Lowassa kujinyongea ni imara sana na wakati ukifika tutashuhudia maafa makubwa sana kwa kambi hii! Nenda Lowassa, Nenda Star TV. Tunakusubiri tukuone ukijiachia!
 
Back
Top Bottom