Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

Mkuu naumwa na roho,halafu nahisi nimeanza kupata matatizo ya moyo kwaajili ya huu uchaguzi,frankly speaking I dnt care anymore,nna watoto wawili wa kiume na wanatosha.Mimi naomba tamko la uelekeo jamani
mkuu pole sana,kwa kweli inasikitisha mambo yanavyoendelea
,ila fikiri kwanza kuhusu watoto wako je unaweza kwenda na bado ccm ikabaki and all your efforts and achievements will mean nothing....
please before you take action think twice especially watoto wako...
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

Kwanza tuwekee hapa ushaidi unaoonyesha 60% ya watanzania walimuomba Lowassa agombee kupitia CHADEMA, huo utafiti ulifanyika lini na nani.

Tatizo wengi mlipumbazwa na nyomi za mikutano mkasahau madhaifu ya mgombea wenu, mabadiliko hayaji kwa kubadili gia angani wala kuzungusha mikono hewani.

Lowassa hakuwa na ushawishi wowote ule wa kuomba kura, alitegemea mchoko wa ccm ndio ilikuwa turufu yake,

Lowassa alikuwa na kura za kwenye mikutano tu nazo si kwa asilimia zote, ila zile kura za Nyumbani ambazo hazina mbwembwe hakufanikiwa kuwashawishi.

Mbowe : Lowassa bubu hawezi kukemea ufisadi.

Lema :Lowassa fisadi inafaa azomewe kila anakopita.

Mnyika : Lowassa ndio Mzizi wa Richmond anafaa akamatwe ahojiwe achukuliwe hatua.

Msigwa : atakae mchagua Lowassa akapimwe akili.

Hizo kauli wewe unazichulia kwa uzito gani?
 
polisi wetu wako tayari kwa lolote..ole wake panya ywyote aonekane analeta upuuzi
maneno kama haya yako yanaweza yakaleta machafuko makubwa mno, epuka maneno yanatowatia watu hasira wakati tayari wana jazba, ni kama ile siku umefiwa na mamako alafu ukakutana na mtu akakutukana apo apo ''**** la mama ako, hunifanyi lolote''. mtu kama huyo unamfanyaje??? angalia kwanza unachosema kabla hujaandika, na pia unatakiwa ujue tupo kwenye kipindi gani... saivi ni wakati wa kuomba watu watulie, sasa ukiwatishia unafikiri nini kitatokea??? kama ikiwa ni vita wote tutaadhirika, hata wewe utashinda ndani mwaka mzima hadi siku ya amani kupatikana. ujue kuna watu wao wako kama akcaeda wanajiulizaga watakufa lini. ni wakati wa kuwatuliza na sio kuwatishia.
 
Don't trace me down 0759 841685
This is my number,call me and I will come.I am just expressing myself.

got you,,,ok,,,now behave yourself unless you want to jerk like michaelfkingjackson for the rest of your miserable life
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

Tukiendelea kua wapole wata tuzoea vibaya na kutuona maboya hawa ccm,na ndio maana wana tuita malofa.

we have to show them.
 
got you,,,ok,,,now behave yourself unless you want to jerk like michaelfkingjackson for the rest of your miserable life

Hah! You are shit,true shit.May be you never engage in personal combat,or may be you think am the firs fool in this country.Let make a bet,are you ready?
 
This tragidy for Tanzania....Dhuluma haisauhiliki...CCM simamieni haki ....yasije yakatokea ya MISRI hapa....
 
Victoire dada yangu,naomba unyamaze uache kuongea upuuzi.Nakuomba sana dada yangu

binafsi ninaamini watakaoingia road ni wanywa viroba waliokata Tamara.Hats kama kura Yang nilimpa lowasa ila naamini matokeo yanayotoka ndio halisi,Magufuli kafanya kazi kuliko Lowasa ni halali take.
 
Lianzisheni mdonolewe, magari ya jk hayakaganyiwa mazoezi kisawa sawa

Mkianzisha mtawapa sababu ya Ku make it dirty.

Na mwisho mkaishia kupoteza, jk yuko tayari Ku sacrifice ili apate atakacho.

Msipo angalia mtajikuta mnacheza game ya ccm.
 
No sio kwa uchaguzi huu,sio Tanzania tena,watoto wangu ni wakiume,nikifyata mkia nikanyamaza ntakuja kuwaambiaje,ntakuwa na uhalali wowote wa kuwafundisha ujasiri?
Ntakufa nacheka ndugu yangu,na hata nikikamatwa kuteswa ntakuwa nacheka kwasababu ntakuwa sijausaliti moyo wangu.Nasubiria tu viongozi wangu.

watu kama nyie wazuri sana endelea na upuuzi wako
 
Kuna watu mnatumia dhihaka na maneno ya maudhi hamjui mnaongeza kwa kiasi gani hasira za watu wanaoona kabisa wamedhurumiwa haki yao, msifikiri kuwa watakao dhurika ni wale tu watakao ingia barabarani jiulize hutadhurika kwa mabomu au shughuli zako kuathiriwa kwani muda huo hata wewe hutaweza kufanya kazi zaidi ya kujifungia ndani. Tuwe na maneno ya busara hata kama tunafikra tofauti.
 
Mkuu naumwa na roho,halafu nahisi nimeanza kupata matatizo ya moyo kwaajili ya huu uchaguzi,frankly speaking I dnt care anymore,nna watoto wawili wa kiume na wanatosha.It is CCM out or Paul is a dead man

nafuu ufe kwa hiyo pressure kuliko kujitoa uhai
 
got you,,,ok,,,now behave yourself unless you want to jerk like michaelfkingjackson for the rest of your miserable life

Elungata,natamaani tucheze game ya find me,I find you.Atakayeonekana Jf baada ya wiki moja ameshinda.Uko tayari? just bet!
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

Acheni maneno ya uchochezi
 
wapumbavu hamtaisha hata kimya nalo ni jibu hiv unadhan low hasa hajui matokeo au mboowe hayafahamu kafe peke yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom