Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

Mwizi, Fisadi na Muhujumu Uchumi awe Rais wetu ni Mkosi.

Labda kama ni Mapinduzi lakini kwa Kura Lowasa hawezi kuongoza nchi hii, asubiri kujiunga na kina Mramba huko waliko watampa uzoefu waliopata
Safi sana Kiongozi.
 
You are not my level young man. If you want to discuss something constructive with me, you better come out of the ukawanite box.
Lete hoja, ndani ya box au nje ya box aihusu.

freemason unawajua, au umewasoma tu na kuwasikia?
 
Teyari umesha kiri kuwa Lowassa alivaa pete ya Freemason na wajuzi wanafahamu kuwa Freemason ni waabudu Mashetani. Mungu gani huyo anafanya kazi na Shetani? Mtamfahamu Mungu ifikapo tarehe 25 October kuwa yeye hana mapenzi na wala urafiki na Mafisadi.

Acha mambo ya kulazimisha, nimekiri wapi wakati nyie mko kama wachawi mnaumbuana wenyewe kwa wenyewe. Freemason unaijua wewe na alama unazijua, nimekueleza tu kuwa kama ni hivyo unaumia kwa kuwa pengine huyu kawachueni mnaona gere, kwendeni mumuulizu bosi wenu wa hiyo masonic kwa nini amemwinua huyu wakati huu. Sisi tuna vigezo vya kumkubali sasa na wala sababu zetu hazihusiani na hiyo freemason yenu, kama yupo huko atajijua yeye na Mungu wake
 
Sera zimeisha sasa naona mmejifunza matusi eti Pete ya FRS hiyo Pete tu taarifa ikufike gamba
 
Unaweweseka sasa na kukimbia majibu yako mwenyewe, huo ndio ugeugeu. Wewe endelea na kumfuata Freemason anaye taka kununua Urais kwa nguvu. Lowassa sasa kwisha habari yake.
 
Sera zimeisha sasa naona mmejifunza matusi eti Pete ya FRS hiyo Pete tu taarifa ikufike gamba
Kumbe kuvaa Pete ya Freemason ni matusi. Sera mtaipata wapi UKAWA wakati jamaa yenu yeye ni dakika mbili tu KWISHA HABARI YAKE??!!!!
 
Umeliona hilo tu, kwani unajua maana ya mwenge? Kwa taarifa yako Tanzania ipo chini ya Imani za kishetani tangu tupate uhuru, ndiyo maana tumo katika laana. Kama una utashi ungehoji kwanza maana ya mwenge kujua kama ishara yake ni njema au la. Freemason wamebarikiwa ndiyo maana hata Obama, Bush, Clinton, Malkia Elizabeth ni freemason.
 
Kingunge keshaondoka kwenye chama chenu..

Kingunge ni nani??? Huyo hana impact yoyote ndani na nje ya CCM. Kingunge ameshamaliza muda wake na kwa upande wa chama chetu ni kama tumetua mzigo ulikokuwa unatuelemea. Kamechoka mbaya. Wacha kaungane na mchovu mwenzake. Kumbuka ule msemo "ndege wa rangi moja huruka pamoja".
 
Unaweweseka sasa na kukimbia majibu yako mwenyewe, huo ndio ugeugeu. Wewe endelea na kumfuata Freemason anaye taka kununua Urais kwa nguvu. Lowassa sasa kwisha habari yake.

Rais pekee Tanzania ambae hakuwa mwanachama wa Freemasons ni Mwalimu Nyerere pekee, hii ni kwa mujibu wa swahiba wa kikwete wa mda mrefu, hayati Sheikh Yahya Hussein!
 
[h=3]
safe_image.php
[/h]Mwaka huu ndio mwaka wa kuona mengi. Sasa Lowassa anavaa Pete ya Freemason kama ishara kuwa yeye ni mmoja wao. Hiki kikundi cha Masonic ni cha waabudu Shetani na wanatumia nguvu za giza kupata uongozi.

Hapa chini tunamwona Sir Chande akiwa na Sumaye ambaye na yeye inasemekana kuwa ni mmoja wao.

0060.jpg

Tanzania, kwanini tumchague kiongozi ambaye ni Freemason na aifanye nchi kuwa chini ya imani za Mashetani?

Mchague Mheshimiwa John Magufuli ambaye hana ushirika na hiki kikundi cha kuabudu mashetani "Freemason" na anamtegemea Mungu na ataiweka nchi katika misingi ya isiyo na ushirika na hizi imani za kimashetani.

Mbona hata mh kikwete alipewa kitabu na huyu huyu na alituongoza, mbona hamkusema freemason. Niliona picha hiyo kipindi cha marehemu sheikh Yahya kwenye channel ten
 
Back
Top Bottom